Wewe sasa ndio unataka kuzua udini, tukio hilo ni uzembe tu uliokithiri kila mahali nchini kutokana na sera mbovu.Kwani selian ni ya ccm..
Si wamejifanya hawataki hospitali yetu ya mount meru, baba lao arusha...sasa angalia wamempoteza mtanzania mwenzetu...na hapo hata udini utaibuka ...
Unachojaribu ni kulalama kwa propaganda dhidi ya CCM ambazo hazina hata mashiko.Jamani, kweli hili ni jambo la kusikitisha sana. Nawapa pole sana wafiwa. Hata hivyo naomba wa Tz wote tujiandae kwa mambo kama haya kwa sababu watu wengi wamepoteza uhai na wengine kupata ulemavu wa kudumu kwa sababu ya uzembe kama huu.
Lakini tatizo hili halianzii kwenye hospitali ama wahudumu wa afya. Linaanzia katika uzembe wa regulatory na supervisory systems za serikali. Kama vile serikali ilivyo na uzembe, katika idara zake zote, na hata haiwezi kusimamia wananchi na hivyo walaliswa sumu na kuathirika kwa namna nyingi tu.
Bila kuiondoa ccm madarakani, tutaendelea kuteketea ndugu zangu. Hakuna nchi iliyo na mfumo wa uongozi makini inayoweza kuruhusu wananchi wake wapate substandard na fatal services or products whether is from the Government or anybody.
Chagua CCM,
Chagua Matatizo!!
Kwani selian ni ya ccm..
Si wamejifanya hawataki hospitali yetu ya mount meru, baba lao arusha...sasa angalia wamempoteza mtanzania mwenzetu...na hapo hata udini utaibuka ...
Chagua CCM,
Chagua Matatizo!!
Chagua CCM,
Chagua Matatizo!!
lazima uibuke we ujaona majina ya mgonjwa yalivyoandikwa.
Ndugu wa marehemu ni kati ya kundi kubwa la wajinga wenye kuweka lawama mbele kuliko uhalisia...
Suala la oksijeni kupungua lipo nje ya uwezo wa hao wauguzi na hata dereva wa gari husika...
Swali la kwanza walitakiwa wajiulize, iweje hapo Arusha hakuna hospitali yenye hadhi kama KCMC maana ingalikuwepo hospitali ya hadhi hiyo basi huyo marehemu pengine angelikuwa hai...
Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.