Polisi wana majukumu mengi katika kuwatumikia watanzania, Acheni kuwasumbua kwa ajili ya michezo yenu ya kitoto.
Dr.Iman Hamza Kondo......Binti Mwasha, ambaye ni secretary kwenye ofisi hiyo, siku ya tukio alichelewa kufika kazini kwa masaa mawili na nusu!
Mlinzi wa ofisi hiyo siku ya tukio aliondoka mapema sana alfajiri.
Uchunguzi wa awali unaonyesha moto huo umezimwa kwa hewa chafu ya CO2.
Na mkutano wa hadhara ulikuwa umeshaandaliwa. Baada ya tukio tu mkutano ukafanyika na watu wote muhimu walikuwepo bila udhuru...
Maandalizi yalikuwa madhubuti...
Binti Mwasha, ambaye ni secretary kwenye ofisi hiyo, siku ya tukio alichelewa kufika kazini kwa masaa mawili na nusu!
Mlinzi wa ofisi hiyo siku ya tukio aliondoka mapema sana alfajiri.
Uchunguzi wa awali unaonyesha moto huo umezimwa kwa hewa chafu ya CO2.
Na mkutano wa hadhara ulikuwa umeshaandaliwa. Baada ya tukio tu mkutano ukafanyika na watu wote muhimu walikuwepo bila udhuru...
Maandalizi yalikuwa madhubuti...
Wakuu,
Baada ya taarifa za kuchomwa moto Ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Arusha, Polisi kutoka Kikosi cha Zima Moto Makao makuu ya jeshi la Polisi wamewasili Arusha kwa uchunguzi zaidi.
Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa Awali wa polisi Arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia CHADEMA kutoshiriki kongamano la Amani na Serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.
Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha kamanda Martine Sarungi.
stay tuned!!!!
Akili yako inakutosha wewe mwenyewe. uwongo ni fani yako
wakuu,
baada ya taarifa za kuchomwa moto ofisi ya chadema mkoa wa arusha, polisi kutoka kikosi cha zima moto makao makuu ya jeshi la polisi wamewasili arusha kwa uchunguzi zaidi.
Hii ni kutokana na taarifa za awali za uchunguzi wa jeshi la polisi mkoa wa arusha kupingana na uhalisia wa tukio la moto lilivyokuwa.
Uchunguzi wa awali wa polisi arusha ulionekana upo kisiasa zaidi, kitendo kilichochangia chadema kutoshiriki kongamano la amani na serikali ambapo jeshi la polisi ni sehemu ya kongamano hili.
Hivi sasa polisi wapo njiani wakitokea central wanaongozana na katibu wa chadema wilaya ya arusha kamanda martine sarungi.
Stay tuned!!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
tayari timu ya uchunguzi imefanya kazi yake, ni timu ya wataalam iliyokamilika kama hawataingiza siasa
Tayari timu ya uchunguzi imefanya kazi yake, ni timu ya wataalam iliyokamilika kama hawataingiza siasa