Tukio hili sitalisahau kamwe

Tukio hili sitalisahau kamwe

Usiniambie!!! Bumanda,Kafita,Izunya Lushimba,Nyamikonze,Busolwa,Bukwimba,..............aaaaahhh!! Gawiza bhabha
Haswaaaaa!....Tena Lushima?.....wewe kweli ni mwenyeji, Lushimba uliza kwa Ng'wanakuya. The other day I will visit you thu pm
 
Hahahahaaa Lushimba isalimie familia ya marehemu Hangaya Bundala (Karibu na shule ya msingi Lushimba)
 
Dah... hayo ni majini. Unabahati sana
Cc: profesa mshana jr
 
Nimejiweka kwenye nafsi yako. Nadhani ningekimbia kwa speed ambayo hata mbele nisingeona.
 
labda majini walikuwa wanakuzingua,,ungecmama chuma ingekua yako babu
 
Ciprofloxacin katika ubora wake 😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom