Tukio gani limewahi kukushusha Stimu? Je uliacha?

So enzi hizo zamani...
Nilikuwa na mdada mmoja nilimpataga Instagram. Alikua anapost picha picha nzuri nikamuelewa. Ana nywele ndefu kidogo, nzuri na nyeusi. basi tukachat kwa muda kidogo hadi tukazoeana na kukutana nakadhalika.
Sasa siku ya tukio (if yu no yu no), kaja amependeza kweli kweli. Basi ikabidi tuende kwene hotel expensive kidogo. Basi baada ya taratibu zote kuzingatiwa ukaja wakati muafaka. Dada baada ya kuvuana nguo hii na ile bana akaamua kuvua wigi. Lahaula! yani taswira niliyokua nayo ya kichwa chake ikabadilika gafla (Si mbaya lakini) ila sasa nywele zilikua vuguvugu hadi stimu zikashuka kabisa yani.
ILa hakuachwa mtu 😉
Toka cku hiyo kiukweli mi sipendi kabisa kuona mtu tuliye naye intimate anavaa wigi, ndani kunaficha mengi sana.
We yalishakukuta yapi?
Mkuu kama papuchi yake ilikuwa poa mbona shwari tu? Mm huwa najali zaidi ubora wa papuchi kuliko sura.
 
hii ilikua noma zaidi ya noma, genye zilijaa kinyama mnara unasoma 4.5G matata sana, nikaona isiwe shida nikashuka kwa wahaya m/nyamala mida ya saa moko jioni

moja moja mpaka room 6, kipindi icho ni buku 4/ score nikalipa, nikavua trauza, ile ye anavua tu, *****, kama paka amekufa, chumba kizima kikajaa harufu ya uozo, nzi kila pahala

nikasamee ile buku 4 nikala kona, nakumbuka siku gegeda ndani ya mwaka mzima maana nikiikumbuka ile harufu, stim INAKATA
Hahahaha! Noma
 
Hakuna kitu inanikata stimu kama demu avae zile tight zao zinakaribia kwa magoti duh labda alivue kabla sijaliona mimi mizuka yangu nione ndani kuna pant matata.
 
Mwingine unakuta kavaa hiyo tu bila chupi...
 
unamwambia una nywele nzuri naye anasema thanks in advance
 
Pale tanga kuna mmaza wa gesti ( yeye ndo msimamizi) niliofikia nilimpa mpaka shikamoo wakati nafika nilionesha kumuheshimu jioni nimerudi zangu nataka nipumzike alichukua namba yangu kwenye kitabu cha wageni akatuma message KAMA UKO MWENYEWE USIKU NIITE TU NIJE KUKUPA KAMPANI NTAKUPA ULE KOTE KOTE UTANIPA HELA KIDOGO TU YA KUNUNUA SABUNI YA KUOGEA ASUBUI mzuka ulikata sikujua hata nimjibu nini ni kama mama yangu mzaz ivi nikajikausha kama sijaona message nikajifanya nimelala akaja kigonga ameshika babycare akaniambia kwa mdomo alichoandika kwenye message nikamwambia Kuna dem anakuja kulala na mimi ye ntamchukua kesho..... kesho yake ndo nilikua naondoka zangu kurudi dar

Good!
 
Duuh kweli kuishi kwingi kuona mengi. Shida hizi zitatumaliza
 
Ile tumefika machame kuelekea kilimanjaro ananiambia mama utanivumilia nimefukuzwa kazi...
Yaani mzuka ulipotea kama gari imekataa breki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hii ilikua noma zaidi ya noma, genye zilijaa kinyama mnara unasoma 4.5G matata sana, nikaona isiwe shida nikashuka kwa wahaya m/nyamala mida ya saa moko jioni

moja moja mpaka room 6, kipindi icho ni buku 4/ score nikalipa, nikavua trauza, ile ye anavua tu, *****, kama paka amekufa, chumba kizima kikajaa harufu ya uozo, nzi kila pahala

nikasamee ile buku 4 nikala kona, nakumbuka siku gegeda ndani ya mwaka mzima maana nikiikumbuka ile harufu, stim INAKATA
Ile harufu huwa inadumu miaka . Mimi kuna moja ilinikutaga mwaka 2011 Buguruni Rozana hadi leo naisikia akilini. Nikasemehe hela zangu nikarudi Bibo.
 
😀😀😀😀😀
Hadi hela ukasamehe
 
Ile tumefika machame kuelekea kilimanjaro ananiambia mama utanivumilia nimefukuzwa kazi...
Yaani mzuka ulipotea kama gari imekataa breki
What a waste, angesubiri mfike k'njaro ndo aseme dah! Kufukuzwa kazi kupo tu
 
Back
Top Bottom