Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

ss3

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
213
Reaction score
98
Leo kampeni zinaanza baada ya tume kupuliza kipyenga jana kwa kuidhinisha wagombea 8 kati ya 12. Wagombea wataanza kunadi sera zao ili zikiwa na mashiko kwetu wapate ridhaa hapo 25/10.
Watanzania wenzangu tuwe makini sana na sana kwenye hatua hii. Wagombea watupe muda wa kuwauliza maswali ya kutosha. Tuelewe kuwa sera pekee si hoja kwani miaka nenda rudi ccm wamekuja na sera nzuri kwa ajili ya kuingia ikulu na baada ya hapo hali huwa tete zaidi. Mfano angalia hali ya elimu ya sasa, afya, maji n.k
Leo watakuja na hayohayo maana wanafahamu fikafika ndiyo matatizo ya Tanzania. Mikataba mibovu imepita tuhoji, katiba haijapatikana tuhoji, rushwa imekidhiri na baadhi ya wahusika waliovuliwa madaraka kwa kosa la rushwa wamerejea kuwania nafasi mbalimbali hasa kwa ccm akina escrow, EPA,Richmond n.k bila hata kutupa majibu ya tuhuma zao tuhoji.
Raia wengi wamepoteza maisha wakiwa kwenye mikono ya polisi tuhoji, viwanda vimeendelea kufa tuhoji, kilimo jembe la mkono limeendelea tuhoji.
Ajira kwa vijana miundombinu mibovu tuhoji.
Wagombea hatuna haya ya muda mrefu kudikiliza mbwembwe zenu bali tunahitaji muda mrefu wa kuwahoji maswali yetu.
Kama unasema unaboresha elimu kwanini miaka 50 imeendelea kuwa hivi.
Vyombo vya dola walindeni watu kwenye mikutano na msiharibu mikutano maana icc ipo nchini kutazama uchaguzi.
Pia wagombea wa upinzani wasikilizwe kwa umakini mkubwa kwani wao wanaweza kutoa suluhu kwa hali ya nchi ilivyo. Ccm kwa kiasi kikubwa kuna tatizo la mfumo siyo mtu ndiyo maana Prof muhongo anatambulika kimataifa kwa mambo ya technology lakini ameacha nchi gizani
 
Ni kweli probabily ni uchaguzi muhimu zaidi kwa tanzania, na watanzania wana uchaguzi either mabadiliko na matumaini ya maisha au kuendelea kuwa maskini kupitia ccm..
 
binafsi nikikumbuka vituko vya wabunge wa ccm bungeni sina hamu na ccm kamwe. kazi yo tu ndiooo. watanzania tukiirudisha tena ccm tutajuuta...

CCM watoke madarakani wameshindwa kazi waliojaribu kufanya miaka 54!

Mimi nasubiri October tu nikate kiu yangu kwa kuchagua kiongozi wangu makini Lowassa.
Baada ya hapo nitakuwa na amani huku nikiwaombea CCM Mungu awape moyo wa ujasiri waweze kutuachia nchi yetu salama.
nifah kuirudisha CCM madarakani, ni sawa na kujichimbia kaburi na kufukiwa ungali bado hai...! Naichukia sana CCM
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.
 
Safi sana.ni kweli lakini kwa kuanzia kura yangu naielekeza kwa vyama viundavyo UKAWA.
 
binafsi nikikumbuka vituko vya wabunge wa ccm bungeni sina hamu na ccm kamwe. kazi yo tu ndiooo. watanzania tukiirudisha tena ccm tutajuuta...
Mpaka bunge linavunjwa lowasa naye alikuwa kundi hilohilo. Kashiriki kuwaumiza watanzania, hastahili kuchaguliwa.
 
Ni kweli probabily ni uchaguzi muhimu zaidi kwa tanzania, na watanzania wana uchaguzi either mabadiliko na matumaini ya maisha au kuendelea kuwa maskini kupitia ccm..

Mabadiliko ni mhimu sana lakini sio mabadiliko ya Lowassa. Lowassa hana nia wala uwezo wa kuleta mabadiliko chanya kwa nchi hii. UKAWA nao sio wa kuamini tena mfuni wao nzima wa kufanya maamuzi ni mbovu.
 
Uloi nga mâché68;13708321 said:
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.

Mifano haiendani na uhalisia wa mambo.CCM sio baba wala mama.imetupora kwa miaka yote tangu uhuru leo unahofu kufanya mabadiliko.Hofu ni adui mkubwa wa maendeleo.zinduka acha siasa za kale.mabadiliko ni muhimu kea ustawi wa taifa letu.
 
Uloi nga mâché68;13708321 said:
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.

ni kweli lkn baba ambaye hawajibiki hana hadhi ya kuitwa baba anakuwa sawa na jogoo lenye watoto mtaa mzima ila haliwajui wala kuwahudumia
 
Mabadiliko ni mhimu sana lakini sio mabadiliko ya Lowassa. Lowassa hana nia wala uwezo wa kuleta mabadiliko chanya kwa nchi hii. UKAWA nao sio wa kuamini tena mfuni wao nzima wa kufanya maamuzi ni mbovu.
Kwa hiyo tubaki na ccm..?!
 
Back
Top Bottom