Tukielekea mwisho wa mwaka

Tukielekea mwisho wa mwaka

mng'oa kucha

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
150
Reaction score
179
wakati tunaelekea mwisho wa mwaka nimeona nifanye jambo kwa familia ya jf nitakuwa Natoa Huduma za kuchimba makaburi na kuandaa maiti kwa ajili ya kuzika Huduma hii ntaifanya bila malipo yoyote ikiwa ni shukran kwa familia na uongozi wote wa jf ...simuombei Wala kumtabiria mtu kifo ila kifo hakiepukiki nikiwa na uzoefu katika Huduma Tajwa niko tayari kuifanya bila malipo napatikana pm...wasalaam
 
Back
Top Bottom