Tukiandika mnasema uchochezi. Does this make sense?

Hakuna maji dar karibu miezi sita Sasa watu wanakichimbia tu visima na kuanza kuuza maji bila hata vipimo
 
Mbaya zaidi Mvua badala inyeshe Dar inaenda kuezua mapaa huko machaka Dar jua km limetumwa km kuna mshenzi kazuia Mvua isinyeshe
 
Vipi kama 2B ya content creators ikiingiza kodi ya 6B serikali ikapata faida ya 4B. Na kununua hizo machine.

Kwani mchanganuo wa wa 2B za content creators umekaaje. Au business plan yake imekaaje. Maana naamini US wanaingiza kodi za Mabilioni kwa content creators wa TZ kuliko nchi ya hao creators.

Tuwasikilize wahusika tu.
Mfano content creator bingwa duniani Mr Beast.
Mwaka 2024 alijiingizia zaidi ya Billionu 800+ kupitia youtube hapo kodi yake ni zaidi ya mabilioni.
Bongo ukiwawezesha kama wakina Mr Brain au yule babu mwenye kipara anayejifanya kama chizi. Hizo bilioni mbili zinarudi na chenchi.

Tatizo ni mleta pesa amejipangaje na kwa uelewa wa kiwango gani?
 
Maji hakuna na Mvua imegoma vibaya sana haitaki kunyesha kabisa
"wamesha fanya yao na waganga wao kutoka kona zote za nchi mvua hamna kupga na wameamua mabomba pia yastoe maji, hapo dar ndo ilikua kitovu cha maandamano na upinzan mkubwa juu ya serikali yake. TUNAKOMOANA"

sio maneno yangu, alisikika babu mmoja akisema vile
 
Na ingelikuwa hivyo, nisingelileta thread hii! Naijua Bongo yetu ilivyo!
 
Nyie wajinga nchi ina mambo mengi.
Huwezi kusitisha jambo moja kwasababu ya jambo jingine.
Yote yatafanyika kwa wakati wake.
 
hasira useless, bandiko nonsense :NoGodNo:
Ulikuja kuomba watu wakuombee ili uwe mbunge, leo baada ya kupata huo ubunge fake wa damu basi umekuwa bolo juu kila mtu wewe ni kumbeza tu, umeshasahau hao unaowabeza sasa ndiyo uliwaomba wakuombee! Nyani ni nyani tu
 
"wamesha fanya yao na waganga wao kutoka kona zote za nchi mvua hamna kupga na wameamua mabomba pia yastoe maji, hapo dar ndo ilikua kitovu cha maandamano na upinzan mkubwa juu ya serikali yake. TUNAKOMOANA"

sio maneno yangu, alisikika babu mmoja akisema vile
Hii comment inamake sense sana. 🤔
 
Ulikuja kuomba watu wakuombee ili uwe mbunge, leo baada ya kupata huo ubunge fake wa damu basi umekuwa bolo juu kila mtu wewe ni kumbeza tu, umeshasahau hao unaowabeza sasa ndiyo uliwaomba wakuombee! Nyani ni nyani tu
vibaraka na mamaluki hawakuniombea gentleman, walinibeza na kunitweza, na kwakweli sikuhitaji na wala sihitaji maombi ya watu nonsense kama hao daima, but nitawaombea kuondokana na hali hiyo ya kubwebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kupewa jukumu la kuzalisha, kuchochea na kusambaza porojo, uongo na uzushi dhidi ya taifa lao wenyewe

I'm vey sorry for that my friend:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom