Msiba wa Taifa ni wa Kitaifa na wa vyama vyote vya siasa

The Giantist

JF-Expert Member
Dec 12, 2018
214
86
Nimeshangazwa na utovu wa nidhamu ambao umefanyika na bila shaka utaendelea kufanywa na baadhi ya watu nchini, na sio wengine ila ni hawa viongozi wa vyama baadhi vya upinzani.

Leo Taifa limepata pigo kubwa mno! Na mara ya mwisho kabla ya pigo hili la sasa, ni msiba ule wa Baba wa taifa Mwl. JK Nyerere mnamo miaka 21 iliyokwishapita, na msiba ule wa Sheikh AA Karume miaka takribani 48 iliyopita. Ndio kusema ndani ya Miaka 48 Tanzania na watanzania wanaomboleza kifo Cha Mzee wetu, Rais wetu mstaafu, Kiongozi wetu wa nchi mstaafu na Mkuu wetu wa serikali mstaafu na pia Amiri Jeshi Mkuu wetu mstaafu ndugu Benjamin Mkapa, Buriani Mzee wetu!

Tunafahamu misiba imekuwa ikitokea kila siku na watanzania wengi wanafariki kila siku, hii haina maana kwamba taifa haitambui michango yao kama wananchi kwenye nchi yao, la hasha! Michango yao inatambuliwa na inathaminiwa sana, suala li wazi.... Mzee wetu Mkapa nje ya majukumu na madaraka aliyowahi kuyashika pia alikuwa ni mtanzania mwenzetu ambaye ameshariki kwa ukamilifu katika ujenzi wa nnchi yetu Tanzania.

Mzee Mkapa atunaye tena katika nchi na Dunia pia, ametangulia. Hatutakuwa naye tena kama ambavyo alituacha mzee Karume na Mzee wetu Nyerere. Hili ni pigo kubwa. Tunafahamu kawaida ya maaskari vitani, ni kweli wanakufa maaskari wengi katika uwanja wa medani lakini kiongozi anawajibika katika kujenga hali na morali wa kupigana vita bila kurudi nyuma, na kuwaonesha njia ya kumshinda adui kwa waredi mkubwa mno. Na hiyo ndio kazi hasa ya kiongozi katika mapambano ya Vita, na kwa hakika hali ni tofauti inapotokea kiongozi anauawa. Wapiganaji wote wanapoa wanpoteza hali na morali wa kupigana vita vyenyewe. Ndio kusema kuna mambo mengi ya muhimu na yenye tija kwa kiongozi kwa wale anaowaongoza na kusema kweli ni mwenye kujenga umoja hali na morali wa kufanya kazi kwa juhudi na weredi kwa watu wake.

Kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, Rais ni kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Kwa jinsi hiyo Rais ni mwenye dhamana ya kuongoza watu wote wa kada zote wa vyama vyote na dini zote, Rais ndiye mlezi wa katiba. Katiba ambayo inaowajibu wa kuvilea na kuvisimamia vyama vya siasa ni katiba hii ambayo imetenganisha mambo ya siasa na mambo ya dini. Kwa hiyo Rais ni mlezi wa katiba na mlezi wa vyama vya siasa vilevile. Na kwa kuwa moja ya tamaduni za nchi nyingi Duniani hutumia nusu mlingoti kwenye bendera za nchi na za vyama vya siasa kama ishara ya kuomboleza msiba mkubwa ndani ya nchi.

Sasa kumekuwa na tabia ya ovyo ovyo kwa baadhi ya vyama vya siasa na hapa niseme wazi ni CHADEMA na ACT vimekuwa ni vyama vya ajabu, hata kufikiri wao si sehemu ya nchi ya Tanzania. Nimeshangaa utovu huu wa nidhamu, wao wameacha kutoomboleza msiba wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa nchi na ambaye pia ni mlezi wao! Wanafikiri kufanya hivyo ndio kujiweka keleleni katika siasa za nchi, huu ni utovu wa nidhamu. Kuacha kuomboleza msiba wa kiongozi wa nchi ni dharau mbele ya katiba ya nchi na wananchi!

Niseme tu, wajibu wetu kama sehemu ya nchi ni kutambua viongozi wetu kama sehemu muhimu ya alama ya nchi yetu, na huko ndio kutekeleza katiba ya nchi na ndio mwanzo wa kujenga jamii yenye usawa na haki. Lai yangu kwa viongozi wa vyama vya siasa ni lazima watekeleze kwa vitendo ile tamaduni ya nusu mlingoti ikiwa ni sehemu ya kutambua mamlaka ya wananchi hata katika misiba na maombolezo ya viongozi wakuu wa nchi. Rais mstaafu Mkapa alikuwa ni Rais wa nchi pamoja na wananchi ambao wanajiita ni viongozi wa upinzani.

Haijalishi ni CHADEMA, ACT, CUF n.k ni lazima ziweke nusu mlingoti katika bendera zao kama ambavyo CCM imetekeleza.

Sauti ya Mdodomia
 
Lissu alipigwa lisasi CCM wote mlipiga vigelegele.leo mnataka msiba wa CCM ùwe wa taifa,achaupuuzi atakaeguswa ataenda kuzika msilazimishe watu.
Hii nchi ya watanzania wote awe raisi ama mbunge au raia wakaiwada.
Usipokuwa na heshima kwa wenzio basi huwezi kueshimika.
 
Ccm inawanyanyasa sana wapinzani

Hili liwe fundisho kwetu sote

Maumivu wayapatayo wapinzani husababishwa na ccm siku zote

Wapinzani huonekana kama wakimbizi

Nao nibinadamu..... Heshima nikitu cha bure,

UTAIFA uonekane katika usawa, thamani ya utu na watanzania wote.... ccm isiwe ndio Bora kuliko watanzania wengine
 
Katika utawala wake walikufa watu wengi sana, kuliko tawala zingine kwa maagizo tu ya kizembe, lipo la kujifunza kwa watawala waliopo madarakani, matukio ya utekaji na mengineyo
 
Nimeshangazwa na utovu wa nidhamu ambao umefanyika na bila shaka utaendelea kufanywa na baadhi ya watu nchini, na sio wengine ila ni hawa viongozi wa vyama baadhi vya upinzani.

Leo Taifa limepata pigo kubwa mno! Na mara ya mwisho kabla ya pigo hili la sasa, ni msiba ule wa Baba wa taifa Mwl. JK Nyerere mnamo miaka 21 iliyokwishapita, na msiba ule wa Sheikh AA Karume miaka takribani 48 iliyopita. Ndio kusema ndani ya Miaka 48 Tanzania na watanzania wanaomboleza kifo Cha Mzee wetu, Rais wetu mstaafu, Kiongozi wetu wa nchi mstaafu na Mkuu wetu wa serikali mstaafu na pia Amiri Jeshi Mkuu wetu mstaafu ndugu Benjamin Mkapa, Buriani Mzee wetu!

Tunafahamu misiba imekuwa ikitokea kila siku na watanzania wengi wanafariki kila siku, hii haina maana kwamba taifa haitambui michango yao kama wananchi kwenye nchi yao, la hasha! Michango yao inatambuliwa na inathaminiwa sana, suala li wazi.... Mzee wetu Mkapa nje ya majukumu na madaraka aliyowahi kuyashika pia alikuwa ni mtanzania mwenzetu ambaye ameshariki kwa ukamilifu katika ujenzi wa nnchi yetu Tanzania.

Mzee Mkapa atunaye tena katika nchi na Dunia pia, ametangulia. Hatutakuwa naye tena kama ambavyo alituacha mzee Karume na Mzee wetu Nyerere. Hili ni pigo kubwa. Tunafahamu kawaida ya maaskari vitani, ni kweli wanakufa maaskari wengi katika uwanja wa medani lakini kiongozi anawajibika katika kujenga hali na morali wa kupigana vita bila kurudi nyuma, na kuwaonesha njia ya kumshinda adui kwa waredi mkubwa mno. Na hiyo ndio kazi hasa ya kiongozi katika mapambano ya Vita, na kwa hakika hali ni tofauti inapotokea kiongozi anauawa. Wapiganaji wote wanapoa wanpoteza hali na morali wa kupigana vita vyenyewe. Ndio kusema kuna mambo mengi ya muhimu na yenye tija kwa kiongozi kwa wale anaowaongoza na kusema kweli ni mwenye kujenga umoja hali na morali wa kufanya kazi kwa juhudi na weredi kwa watu wake.

Kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, Rais ni kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Kwa jinsi hiyo Rais ni mwenye dhamana ya kuongoza watu wote wa kada zote wa vyama vyote na dini zote, Rais ndiye mlezi wa katiba. Katiba ambayo inaowajibu wa kuvilea na kuvisimamia vyama vya siasa ni katiba hii ambayo imetenganisha mambo ya siasa na mambo ya dini. Kwa hiyo Rais ni mlezi wa katiba na mlezi wa vyama vya siasa vilevile. Na kwa kuwa moja ya tamaduni za nchi nyingi Duniani hutumia nusu mlingoti kwenye bendera za nchi na za vyama vya siasa kama ishara ya kuomboleza msiba mkubwa ndani ya nchi.

Sasa kumekuwa na tabia ya ovyo ovyo kwa baadhi ya vyama vya siasa na hapa niseme wazi ni CHADEMA na ACT vimekuwa ni vyama vya ajabu, hata kufikiri wao si sehemu ya nchi ya Tanzania. Nimeshangaa utovu huu wa nidhamu, wao wameacha kutoomboleza msiba wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa nchi na ambaye pia ni mlezi wao! Wanafikiri kufanya hivyo ndio kujiweka keleleni katika siasa za nchi, huu ni utovu wa nidhamu. Kuacha kuomboleza msiba wa kiongozi wa nchi ni dharau mbele ya katiba ya nchi na wananchi!

Niseme tu, wajibu wetu kama sehemu ya nchi ni kutambua viongozi wetu kama sehemu muhimu ya alama ya nchi yetu, na huko ndio kutekeleza katiba ya nchi na ndio mwanzo wa kujenga jamii yenye usawa na haki. Lai yangu kwa viongozi wa vyama vya siasa ni lazima watekeleze kwa vitendo ile tamaduni ya nusu mlingoti ikiwa ni sehemu ya kutambua mamlaka ya wananchi hata katika misiba na maombolezo ya viongozi wakuu wa nchi. Rais mstaafu Mkapa alikuwa ni Rais wa nchi pamoja na wananchi ambao wanajiita ni viongozi wa upinzani.

Haijalishi ni CHADEMA, ACT, CUF n.k ni lazima ziweke nusu mlingoti katika bendera zao kama ambavyo CCM imetekeleza.

Sauti ya Mdodomia
Niseme bila kupepesa macho umeandika upuuzi,uzushi na utoto mwiiiingi . Chadema ofisi zote bendera zinapepea nusu mlingoti. Weka ushahidi ni wapi umekuta bendera ya Chadema ikipepea full mlingoti. Wacha kutafuta kiki kupitia msiba huu,hiki ulichofanya wewe ndiyo utovu wa nidhamu huna adabu kabisa kutumia msiba huu kupata kiki.
 
Attachments

  • FB_IMG_1595649462320.jpg
    FB_IMG_1595649462320.jpg
    15.7 KB · Views: 1

Vipi umerukwa akili? Hao CHADEMA na ACT wamekutaarifu kuwa hawaombolezi? Mbona Freeman alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kutuma ujumbe wa maombolezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme bila kupepesa macho umeandika upuuzi,uzushi na utoto mwiiiingi . Chadema ofisi zote bendera zinapepea nusu mlingoti. Weka ushahidi ni wapi umekuta bendera ya Chadema ikipepea full mlingoti. Wacha kutafuta kiki kupitia msiba huu,hiki ulichofanya wewe ndiyo utovu wa nidhamu huna adabu kabisa kutumia msiba huu kupata kiki.
Bila mleta mada amepatwa na uwendawazimu. Mchukulieni hivyo hivyo. Wendawazimu ni Watanzania wenzetu, tuishi nao kama walivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya Lisu yamefutwa?
Sielewi kama unajua maana ya maandamano au unajitoa ufahamu makusudi.
Viongozi wa serikali, CCM, timu za michezo mbali mbali zikitoka nje ya nchi na ushindi zinapolewa kwa shangwe uwanja wa ndege. Lissu anarudi akiwa mshindi, Mungu kamsaidia kushinda mauti kwa muda. Leo akipokelewa kishujaa uwanjani inawauma nini? Mkiambiwa nyie ndo maliotaka kumuua kwa jinsi mnavyoonesha roho za kichawi mbona mnakuwa wakali?
 
Kwa kweli huku Mitaani ninaona Msiba Wa Kanumba uligusa hisia za Wananzengo kuliko huu.

Poleni wafiwa.
 
Nimeshangazwa na utovu wa nidhamu ambao umefanyika na bila shaka utaendelea kufanywa na baadhi ya watu nchini, na sio wengine ila ni hawa viongozi wa vyama baadhi vya upinzani.

Leo Taifa limepata pigo kubwa mno! Na mara ya mwisho kabla ya pigo hili la sasa, ni msiba ule wa Baba wa taifa Mwl. JK Nyerere mnamo miaka 21 iliyokwishapita, na msiba ule wa Sheikh AA Karume miaka takribani 48 iliyopita. Ndio kusema ndani ya Miaka 48 Tanzania na watanzania wanaomboleza kifo Cha Mzee wetu, Rais wetu mstaafu, Kiongozi wetu wa nchi mstaafu na Mkuu wetu wa serikali mstaafu na pia Amiri Jeshi Mkuu wetu mstaafu ndugu Benjamin Mkapa, Buriani Mzee wetu!

Tunafahamu misiba imekuwa ikitokea kila siku na watanzania wengi wanafariki kila siku, hii haina maana kwamba taifa haitambui michango yao kama wananchi kwenye nchi yao, la hasha! Michango yao inatambuliwa na inathaminiwa sana, suala li wazi.... Mzee wetu Mkapa nje ya majukumu na madaraka aliyowahi kuyashika pia alikuwa ni mtanzania mwenzetu ambaye ameshariki kwa ukamilifu katika ujenzi wa nnchi yetu Tanzania.

Mzee Mkapa atunaye tena katika nchi na Dunia pia, ametangulia. Hatutakuwa naye tena kama ambavyo alituacha mzee Karume na Mzee wetu Nyerere. Hili ni pigo kubwa. Tunafahamu kawaida ya maaskari vitani, ni kweli wanakufa maaskari wengi katika uwanja wa medani lakini kiongozi anawajibika katika kujenga hali na morali wa kupigana vita bila kurudi nyuma, na kuwaonesha njia ya kumshinda adui kwa waredi mkubwa mno. Na hiyo ndio kazi hasa ya kiongozi katika mapambano ya Vita, na kwa hakika hali ni tofauti inapotokea kiongozi anauawa. Wapiganaji wote wanapoa wanpoteza hali na morali wa kupigana vita vyenyewe. Ndio kusema kuna mambo mengi ya muhimu na yenye tija kwa kiongozi kwa wale anaowaongoza na kusema kweli ni mwenye kujenga umoja hali na morali wa kufanya kazi kwa juhudi na weredi kwa watu wake.

Kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, Rais ni kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Kwa jinsi hiyo Rais ni mwenye dhamana ya kuongoza watu wote wa kada zote wa vyama vyote na dini zote, Rais ndiye mlezi wa katiba. Katiba ambayo inaowajibu wa kuvilea na kuvisimamia vyama vya siasa ni katiba hii ambayo imetenganisha mambo ya siasa na mambo ya dini. Kwa hiyo Rais ni mlezi wa katiba na mlezi wa vyama vya siasa vilevile. Na kwa kuwa moja ya tamaduni za nchi nyingi Duniani hutumia nusu mlingoti kwenye bendera za nchi na za vyama vya siasa kama ishara ya kuomboleza msiba mkubwa ndani ya nchi.

Sasa kumekuwa na tabia ya ovyo ovyo kwa baadhi ya vyama vya siasa na hapa niseme wazi ni CHADEMA na ACT vimekuwa ni vyama vya ajabu, hata kufikiri wao si sehemu ya nchi ya Tanzania. Nimeshangaa utovu huu wa nidhamu, wao wameacha kutoomboleza msiba wa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa nchi na ambaye pia ni mlezi wao! Wanafikiri kufanya hivyo ndio kujiweka keleleni katika siasa za nchi, huu ni utovu wa nidhamu. Kuacha kuomboleza msiba wa kiongozi wa nchi ni dharau mbele ya katiba ya nchi na wananchi!

Niseme tu, wajibu wetu kama sehemu ya nchi ni kutambua viongozi wetu kama sehemu muhimu ya alama ya nchi yetu, na huko ndio kutekeleza katiba ya nchi na ndio mwanzo wa kujenga jamii yenye usawa na haki. Lai yangu kwa viongozi wa vyama vya siasa ni lazima watekeleze kwa vitendo ile tamaduni ya nusu mlingoti ikiwa ni sehemu ya kutambua mamlaka ya wananchi hata katika misiba na maombolezo ya viongozi wakuu wa nchi. Rais mstaafu Mkapa alikuwa ni Rais wa nchi pamoja na wananchi ambao wanajiita ni viongozi wa upinzani.

Haijalishi ni CHADEMA, ACT, CUF n.k ni lazima ziweke nusu mlingoti katika bendera zao kama ambavyo CCM imetekeleza.

Sauti ya Mdodomia
Nani amsikitikie huyo aliyeuwa ndugu zetu Zanzibar ajiomboleze mwenyewe pamoja na Lumumba buku 7 na mungu amchome hasa moto huko aliko na yule uchwara itakuwa hivyohivyo siku likifa.
 
Back
Top Bottom