Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

Hahaha Yesu anawatisha Mapilato kila siku hata ikija hiyo katiba mpya nani ataitumia ikuwa Yesu ndiye anaamua watumiaji wafanye nini?!
 
Hahaha Yesu anawatisha Mapilato kila siku hata ikija hiyo katiba mpya nani ataitumia ikuwa Yesu ndiye anaamua watumiaji wafanye nini?!
Yeye ndie anaamua watumiaji wafanye nini kwa sababu katiba yenyewe tayari ina loopholes inayomwezesha kufanya afanyayo na hawezi kuwa held responsible! Ni kama ambavyo Mwalimu aliwahi kusema kwamba, katiba iliyopo inampa nguvu Rais awaye mjinga ku-exercise dictatorship!
 
Moja ya mambo ambayo nayaogopa kwelikweli hivi sasa ni mchakato wa katiba mpya!

Nilianza kuogopa mchakato wa katiba mpya mara baada ya makundi kuanza kujitokeza yakidai katiba ibadilishwe eti ili JPM aongezewe muda wakati alikuwa hajamaliza hata miaka miwili!

Hofu ikaendelea pale walipojitokeza akina Mkamia eti tubadili katiba kutoka miaka 5 ya sasa hadi miaka 7!

Makundi haya yakaniogopesha na kunitia kihoro! Hayo yalikuwa ni makundi ya CCM na Pro-JPM!

Lakini kuna kundi lingine! Hawa ni wafuasi wa upinzani!

Kundi hili jipya hawataki kabisa kusikia tunafanya marekebisho ya katiba yanayolenga kumfanya JPM aendelee kuwa madarakani muda mrefu zaidi!

Kundi hili la upinzani wanataka mchakato wa katiba mpya! Maskini ya Mungu hawafahamu kwamba wanachotaka ni ku-endorse matakwa ya baadhi ya wana-CCM na pro-JPM!

Kwamba, leo hii ukifanyika mchakato wa katiba mpya; focus ya CCM itakuwa ni JPM kuongezewa muda wa kuishi madarakani! Na hilo CCM wakilitaka, hakuna wa kuwazuia cuz' they have enough boots on the ground while you guys have enough virtual boots on the cyberspace!!

Mchakato wa katiba mpya unafanyika on the ground and not on the cyberspace (mitandaoni). Hii maana yake ni kwamba, hata kama mchakato unakuwa Free & Fair; bado hoja za CCM zitapita tu!

Dunia is full of Average People and many more below the average... it's a genius way of saying the world is full of ignorant people and many more even stupid! Likewise, Tanzania is full of Average People and many more...! Generally speaking, hawa wana-account at least 70%.

Hii 70% still believe JPM ni best president ever! Majority of them ni wafuatiliaji wazuri wa Pilot Episodes za Series za JPM lakini hawana muda wa kuangalia seasonal finale! Na hawa ni wengi kwelikweli! Majority ya hawa walifuatilia pilot episode la makinikia na wanajua JPM ni Superman aliyewatia adabu wezi wa madini!

Lakini hao hao ukiwauliza ile issue imeishia wapi; majority wala hawajui... wanachojua JPM amewatia adabu wazungu!

Sasa hivi watu waliofuatilia tu pilot episodes za makinikia, Sh 450 Trillion, JPM kuokota vichwa vya treni na magari kibao kule bandarini... hivi hawa mtawalaumu wakiunga mkono hoja ya Sterling JPM kuongezewa muda mrefu?!

Narudia, hawa ndio wapo wengi zaidi... dunia is full of average people!!

Kwahiyo, wakati tunataka katiba mpya hivi sasa tusisahau tutakuwa tuna-endorse mabadiliko ya vipindi vya urais!

Sio hivyo tu, kwa kipindi hiki yanaweza kufanyika mabadiliko ya kijinga zaidi kuliko mchakato wa Warioba na bado fasta katiba ikapita!

Na wala tusijidanganye eti hata CCM wanamchukia JPM! Ni kweli wapo wanaomchukia lakini nao ni wachache tu! Remember, dunia is full of average people... CCM is just a sample/subset ya dunia; kwa maana kwamba; huko nako ni full of average people!

Mbaya zaidi, hata wale walio above average, majority ni watu wa kujipendekeza ili kutafuta au kulinda madaraka yao.

Kumbukeni povu la the guy so called Palamagamba Kabudi wakati wa Rasimu ya Warioba na Kabudi huyu wa sasa!

Nahisi tumbo kukata endapo watatokea CCM na Pro-JPM wakaanzisha movement za kutaka katiba mpya!

Yaani watanoga kwelikweli duniani na machoni mwa wana-demokrasia kiasi kwamba, atakayewapinga atakuwa anaishangaza dunia!

Wana-CCM kusimama hadharani kusema katiba tuliyonayo ni mbovu na nchi inahitaji katiba mpya! Kumbe nyuma ya pazia...

We either survive with our existing constitution or get buried deep into the earth with a new constitution!

SHETANI LA KATIBA MPYA SHINDWA!

Sema "AMEEN!"

Ndio lengo kuu la kuuwa upinzani ili wenye njaa wawe wengi bungeni wabadili katiba waendelee kula Kodi zetu
 
Yeye ndie anaamua watumiaji wafanye nini kwa sababu katiba yenyewe tayari ina loopholes inayomwezesha kufanya afanyayo na hawezi kuwa held responsible! Ni kama ambavyo Mwalimu aliwahi kusema kwamba, katiba iliyopo inampa nguvu Rais awaye mjinga ku-exercise dictatorship!
Wa kulaumiwa na kulaaniwa ni Mwalimu yeye ndie chanzo cha misingi mibovu ya uongozi ambayo imezaa udikteta.
Mwafrika yeyeto ni lazima umetengezee mifumo ya kumdhibiti ili asiumize watu kwa maana sisi bado still hatuwezi jiongoza bila kuumizana.
 
Am a passer-by japo sijakubaliana na point zako
Kwahiyo kwa wabunge waliopo CCM huku Rais aki-intefere hapa na pale, bado unaamini tungeweza kuwa na mchakato wa katiba mpya unaoweza kutoka katiba yenye manufaa kwa wananchi na sio katiba itayo-rubber stamp yale yanayoshabikiwa na CCM na Team Magu?!

Hivi unaamini hoja ya kuondoa ukomo wa rais ingeweza kudhibitika under current administration and current bunge?
 
Dah! Ndugu yangu Kataskopos ama kweli umetukomoa wale tuliokuwa na mtindo tukipotea kwa siku kadhaa, tunaporudi tunaanza kutafuta nyuzi za ID fulani fulani kuangalia nini kilijiri!

Hivi sasa... dadeki! Manake mtu unaanza kuumiza kichwa na guessing; "hivi ile ID ni kataspov vile au spatanov; au itakuwa kataspoku!" Baada ya hapo tunaishia kuhema tu!

Sijui ni-launch #BringBackOurMartinSankala!
 
Braza braza, itabidi mimi ndiyo niwe nakutafuta wewe baada ya siku kadhaa. It's so good to see you again!
 
Wa kulaumiwa na kulaaniwa ni Mwalimu yeye ndie chanzo cha misingi mibovu ya uongozi ambayo imezaa udikteta.
Mwafrika yeyeto ni lazima umetengezee mifumo ya kumdhibiti ili asiumize watu kwa maana sisi bado still hatuwezi jiongoza bila kuumizana.
Mwalimu ameondoka madarakani miaka 40 iliyopita! Kwa maana nyingine, Mtanzania aliyezaliwa mwaka ambao Mwalimu Nyerere ameondoka madarakani leo hii ana sifa ya kuwa mgombea na hatimae kuwa rais wa Tanzania, huku akiwa na Mawaziri WOTE pamoja na Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, na hata Mkuu wa Majeshi wote hao wakiwa ni wale waliozaliwa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani!

Kwa maana nyingine, bunge letu lilikuwa na uwezo wa kujaza Wabunge Watanzania waliozaliwa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani!

Kwa maana nyingine, shule na vyuo vyetu VYOTE, including Vyuo Vikuu VYOTE leo hii vilikuwa na uwezo wa kujaza Waalimu, Wahadhiri, Madokta, na Maprofesa kutoka miongoni mwa Watanzania waliozaliwa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani!

Kwa maana nyingine, Watanzania waliozaliwa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani walikuwa na uwezo wa kuchagua uongozi watakao since 1995!

And to be fair, at least 50% ya hao wamepata elimu kupitia mkono wa Nyerere kwa sababu majority ya hao especially in their 30's wamesoma UDSM, SUA, Mzumbe, IFM, you name it... institutions zilizoachwa na Mwalimu!

Sasa ikiwa pamoja na yote hayo lakini bado tunataka kumdondoshea Jumba Bovu Mwalimu, basi itakuwa ndo yale yale ya kuwadondoshea Jumba Bovu Wazungu kama chanzo cha umaskini wetu!!

Mzungu wakati anaingia Afrika, Mwafrika mwenyewe alikuwa hajui kutengeneza hata toothpicks!!

Wakati Mwafrika alikuwa hajui hata kutengeneza toothpicks, Mzungu anayelalamikiwa kusababisha umaskini wetu tayari alishakuwa kwenye industrial revolution ambayo hata baada ya miaka 250 baadae, bado Afrika hatujaifikia!!!
 
Chanzo Kama kinawanufaisha wateule wachache kwenye system hawawezi kiondoa sababu ya misingi mibovu ya mwanzo.Baada ya Nyerere kuasisi mfumo mbovu wa mtawala kuwa juu ya katiba waliorithi wanapokuwa kwenye system hawawezi ubadili kuhofia kufa njaa,mfumo ukishawatupa yaani kuwa nje ya mfumo ndo uanza kuulalamikia mfumo uleule waliokuwa wakishiba nao ni sawa na membe, sumaye, Mkapa, Lowasa,nk kutamani kuona kulilia katiba na tume Bora wakiwa nje ya mfumo Hali walikuwa ni vipofu wakati wakiwa kwenye mfumo huohuo wanaoulalamikia sababu walishibishwa nao.Vivo hivo wa Sasa pia siku mfumo ukiwatupa Hali wanayo nafasi ya kuubadili Sasa sababu tu ni vipofu na wanashiba nao hawaoni ni Hadi watakapo kuwa nje.
Tunalaumu misingi ya awali iliyowekwa na Mwalimu ya mtu mmoja kuwa na kofia mbili hapo Hakuna wa kumdhibiti mwenzake.Ccm ya Sasa toka chama cha wakulima na wafanyakazi na kuwa Mali binafsi ya mtu yote sababu ya katiba imetoa mwanya huo.Ukishaweka misingi ya kiongozi kuwa juu ya katiba kwa kumpa full madaraka tegemea kuongoza Kama familia ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom