Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

Moja ya mambo ambayo nayaogopa kwelikweli hivi sasa ni mchakato wa katiba mpya!

Dunia is full of Average People and many more below the average... it's a genius way of saying the world is full of ignorant people and many more even stupid! Likewise, Tanzania is full of Average People and many more...! Generally speaking, hawa wana-account at least 70%.

Hii 70% still believe JPM ni best president ever! Majority of them ni wafuatiliaji wazuri wa Pilot Episodes za Series za JPM lakini hawana muda wa kuangalia seasonal finale! Na hawa ni wengi kwelikweli! Majority ya hawa walifuatilia pilot episode la makinikia na wanajua JPM ni Superman aliyewatia adabu wezi wa madini!

We either survive with our existing constitution or get buried deep into the earth with a new constitution!

SHETANI LA KATIBA MPYA SHINDWA!

Sema "AMEEN!"

Mkuu unakusanya wapi hizi data?
maana nauwakika hata ukienda Lumumba pale au Dodoma hautopata hizo asilimia.
 
Nadhani Tanzania is full of average people not the world or Africa.
Ni dunia... tofauti tu ni kwamba, average people wa South Korea wataonekana wapo above average wakiwa Tanzania and probably more smater than majority of Tanzanians who are above average!!
 
Their boots doesn't help anything, just think we are poor for long time now since they got in power and nothing they have done to rescue their citizens from the poverty.
 
Mkuu unakusanya wapi hizi data?
maana nauwakika hata ukienda Lumumba pale au Dodoma hautopata hizo asilimia.
Kwahiyo Mkuu unaamini a total of Chimwaga & Lumumba wapo above average?!

Anyway, ndo maana nimeanza kwa kusema " Generally speaking, dunia is full of average people!" Kila taarifa iliyofuata hapo, inafuata mkondo ule ule... generally speaking!!
 
Moja ya mambo ambayo nayaogopa kwelikweli hivi sasa ni mchakato wa katiba mpya!

Nilianza kuogopa mchakato wa katiba mpya mara baada ya makundi kuanza kujitokeza yakidai katiba ibadilishwe eti ili JPM aongezewe muda wakati alikuwa hajamaliza hata miaka miwili!

Hofu ikaendelea pale walipojitokeza akina Mkamia eti tubadili katiba kutoka miaka 5 ya sasa hadi miaka 7!

Makundi haya yakaniogopesha na kunitia kihoro! Hayo yalikuwa ni makundi ya CCM na Pro-JPM!

Lakini kuna kundi lingine! Hawa ni wafuasi wa upinzani!

Kundi hili jipya hawataki kabisa kusikia tunafanya marekebisho ya katiba yanayolenga kumfanya JPM aendelee kuwa madarakani muda mrefu zaidi!

Kundi hili la upinzani wanataka mchakato wa katiba mpya! Maskini ya Mungu hawafahamu kwamba wanachotaka ni ku-endorse matakwa ya baadhi ya wana-CCM na pro-JPM!

Kwamba, leo hii ukifanyika mchakato wa katiba mpya; focus ya CCM itakuwa ni JPM kuongezewa muda wa kuishi madarakani! Na hilo CCM wakilitaka, hakuna wa kuwazuia cuz' they have enough boots on the ground while you guys have enough virtual boots on the cyberspace!!

Mchakato wa katiba mpya unafanyika on the ground and not on the cyberspace (mitandaoni). Hii maana yake ni kwamba, hata kama mchakato unakuwa Free & Fair; bado hoja za CCM zitapita tu!

Dunia is full of Average People and many more below the average... it's a genius way of saying the world is full of ignorant people and many more even stupid! Likewise, Tanzania is full of Average People and many more...! Generally speaking, hawa wana-account at least 70%.

Hii 70% still believe JPM ni best president ever! Majority of them ni wafuatiliaji wazuri wa Pilot Episodes za Series za JPM lakini hawana muda wa kuangalia seasonal finale! Na hawa ni wengi kwelikweli! Majority ya hawa walifuatilia pilot episode la makinikia na wanajua JPM ni Superman aliyewatia adabu wezi wa madini!

Lakini hao hao ukiwauliza ile issue imeishia wapi; majority wala hawajui... wanachojua JPM amewatia adabu wazungu!

Sasa hivi watu waliofuatilia tu pilot episodes za makinikia, Sh 450 Trillion, JPM kuokota vichwa vya treni na magari kibao kule bandarini... hivi hawa mtawalaumu wakiunga mkono hoja ya Sterling JPM kuongezewa muda mrefu?!

Narudia, hawa ndio wapo wengi zaidi... dunia is full of average people!!

Kwahiyo, wakati tunataka katiba mpya hivi sasa tusisahau tutakuwa tuna-endorse mabadiliko ya vipindi vya urais!

Sio hivyo tu, kwa kipindi hiki yanaweza kufanyika mabadiliko ya kijinga zaidi kuliko mchakato wa Warioba na bado fasta katiba ikapita!

Na wala tusijidanganye eti hata CCM wanamchukia JPM! Ni kweli wapo wanaomchukia lakini nao ni wachache tu! Remember, dunia is full of average people... CCM is just a sample/subset ya dunia; kwa maana kwamba; huko nako ni full of average people!

Mbaya zaidi, hata wale walio above average, majority ni watu wa kujipendekeza ili kutafuta au kulinda madaraka yao.

Kumbukeni povu la the guy so called Palamagamba Kabudi wakati wa Rasimu ya Warioba na Kabudi huyu wa sasa!

Nahisi tumbo kukata endapo watatokea CCM na Pro-JPM wakaanzisha movement za kutaka katiba mpya!

Yaani watanoga kwelikweli duniani na machoni mwa wana-demokrasia kiasi kwamba, atakayewapinga atakuwa anaishangaza dunia!

Wana-CCM kusimama hadharani kusema katiba tuliyonayo ni mbovu na nchi inahitaji katiba mpya! Kumbe nyuma ya pazia...

We either survive with our existing constitution or get buried deep into the earth with a new constitution!

SHETANI LA KATIBA MPYA SHINDWA!

Sema "AMEEN!"
You are so bright guys!
God bless you
 
Their boots doesn't help anything, just think we are poor for long time now since they got in power and nothing they have done to rescue their citizens from the poverty.
You've point but I hate to break the news that CCM are genius when it comes to politics!! And trust me, if they'd invest in national economy only 50% of their brain in politics; today Tanzania would probably be much better than Kenya if not even South Africa!!

Unfortunately, we're talking about politics here... CCM's home playing field!
 
Atakaye ikomboa Tanzania ni watanzania wenyewe, wala sio katiba

Korea kasikazini wameonyesha kuwa wao pia wanaweza kujitengenezea silaha zao za kinuclear labda bila kutegemea wataalamu wa nje!

Wachina wanaonyesha jinsi gani walivyo wazuri wa kukopi ya wengine na kuyafanya inchini kwao hususani yale ya maendeleo kwa nguvu zote.

Nasisi watanzania kama tumepata mtu anayefunga mali zetu zisitoke nje bila manufaa ya kutosha kwa nchi, tusilichukulie kama ni kitu kibaya, bali tubadili upeo kwa kutumia akili kujua tutazifanyaje malighafi zetu kuwa products.

Ifike wakati hata mtu akipakia meli kwenda ugaibuni, asiende kuishia kudeki tu au ubalozi au biashara ya kununua na kuimport bali kuiba technolojia na kuileta inchini.

Watanzania hata Crusher za mawe tuwategemee watu wa nje wazi instal? Wazifanyie biashara hao sisi tubakie wanunuzi wa kokoto?

Okay, hiyo Reli inayojengwa, hiyo timu Uturuki ndio iwe mwisho, tender nyingne zitoke kwa sharti wazawa tu ndio waombe, nategemea sasa wapo wazawa (Mechanical, electrical na civil engineers) wanaopata uzoefu na serikali naishauri iwekeze wapate vitendea kazi.

Hadi leo watanzania hatujaiba hata technolojia ya kutengeneza baiskel? Kwann tusiseme baiskel sasa tunazizalisha Tanzania?

Kwann tusiseme bajaji tunazizalisha Tanzania?

Kwann tusizalishe mashine zetu za kuangulia vifaranga vya kuku?

Kwanini tuwaze kuwa katiba ndio kila kitu ili hali tunaoutulivu na tunaouwezo wa kupata VISA kusoma nje, kwann tusirudi na technolojia tukaiwekeza hapa inchini.

Mimi ningekuwa Raisi, ningewainua wote hao wenye ideas ya kutengeneza helkopta, Hydro electrical power plant kwa kuwekeza kielimu na kifedha kwa manufaa ya nchi, na sharti la kupata VISA kwa hao wanaoenda nje kusomea degree ya pili au ya tatu ya masomo ya sayansi sharti waandike paper nitakayojiridhisha wanaenda kutuletea technolojia ipi mpya/ ambayo haipo hapa inchini?

Tunapoteza muda mtandaoni kwa mambo ya ajabu ajabu, unakuta mtu ni engineer ana mwezi au zaidi ...hajawahi soma article yoyote ya engineering field yake tokea alipomaliza chuo, what a hell?

TANZANIA ITABADILISHWA NA WATANZANIA WENYEWE HATA KAMA KATIBA HAITOBADILIKA
Well said
 
"The world is full of average people and many more below the average"
 
You've point bit I hate to break the news that CCM are genius when it comes to politics and trust me, if they'd invest in national economy only 50% of their intelligence in politics; today Tanzania would probably be much better than Kenya if not even South Africa!!

Unfortunately, we're talking about politics here... CCM's home playing field!
Yes sure they are so so genius in this(political) field, but they should stop blaming that Tanzanian are the laziest people, that European and western countries steal from us (why steal from us and CCM has been in power since 1961 during TANU, (one party system to multipartism) ) and by the time(and now) those are the one who has the authority to manage all resources that are grounded inside our national borders.

By now we need new constitution that will reduce the power of President and create the Constitution that will secure our resources so as a country we can move on and compete with others in terms of citizens condition against other countries.
 
They can't stop saying that because that's what average people want to hear... shifting the burden of leadership failure to White Folks can easily be understandable to average people! In short, CCM is capitalizing the opportunity of having the largest population of average people!!

New Constitution?! Of course I'd love to have new constitution too but this's not just about a new constitution but a constitution that will serve the dream of the people!!

The question is: Can you get that constitution now when the country has the president who acts like Supreme Leader?! Can we get that constitution when the country has the president with unwritten supreme unquestionable power who can openly interfere other branches of power?! Can we have that constitution now when majority of the average people are already manipulated to believing our supreme leader is a long awaited Messiah who needs to remain in power for more and more years?!

Will today's new constitution process help to get what we want or what they want... will it not be used to endorse the need to amend presidential terms and tenure in the office?!
 
kp09032018.jpg
 
Mi nimekuelewa vizuri, sasa tunafanyaje na hali iko hivi kama ilivyo?
Tuendelee kupambana na mazingira haya haya ya hovyo lakini yasiyo na baraka ya katiba kuliko kufanya attempt itakayopelekea haya mazingira ya hovyo kupata uhalali wa kikatiba!!

I still believe hatujafanya vya kutosha au naweza kusema hatujafanya hata attempt ya kujitoa vya kutosha!!

Kwa mfano, hivi upinzani walifanya nini cha maana kupinga katazo la shughuli za kisiasa?! Bwana Mkubwa kasema, watu waka-back off! Sikumbuki ikiwa marufuku ile ilipingwa japo mahakamani!!
 
Back
Top Bottom