Narefer kwenye ile mada ilopita ya kukatika ni muhimu au la. Mimi nilisema hii huwa inakuja involuntarily mtu unavyokunwa sawa sawa nikapingwa so kwa wale wanaopinga ni kama vile kukata kiuno ni art ndani ya game so unacheza kwa step na makini ili ufurahishe mpenzi. So if tis is the case mtu si unawezajikuta unaconcentrate ili usipoteze step
Sasa mm zile mechi za Mchangani anakatika mpaka ananichubua hii vp akina mama nimfanyaje apunguze haya manjonjo maana inakuwa maumivu sasa mtu anajituma mpaka kwenye penati.
Sasa mm zile mechi za Mchangani anakatika mpaka ananichubua hii vp akina mama nimfanyaje apunguze haya manjonjo maana inakuwa maumivu sasa mtu anajituma mpaka kwenye penati.