Tukasome na si kwenda kuendekeza hanasa.!

King Mutesa

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
227
140
Baada ya vijana kupewa mikopo yao, naona wamefurahia xaana na kuSahau kuwa kuna MASOMO tena magumu sana..!!

Jamani Malecture's wamewapania kwa mazoezi magumu xana.!!
Tukasomeeeeeeee....!!!!!!!
 
Asante kwa ujumbe mzuri lakini hapo kwenye bold sielewi kwani kulikuwa na tabu gani kuweka herufi"S" badala ya X! pili unamaanisha nini kuandika "Malecture's" ulikuwa unamaanisha ma lecturers!? ambayo pia siyo sahihi kwa mfumo wa kiswakinge, ukishaweka"ma" huna haja ya kuweka "s" mbele ya neno "lecturer!
 
Fedha ni kurahisisha baadhi ya mambo tu.! Cha msingi MAAARIFAA..!!
We unaonaje kaka..?

Yes kaka maarifa ni jambo la msingi pesa itu-assist tu kukuza career zetu, kiukweli watu wamepigwa pesa nyingi sana....tusipokaa vizuri tutasahau kilichotupeleka college kabisa.
 
Asante kwa ujumbe mzuri lakini hapo kwenye bold sielewi kwani kulikuwa na tabu gani kuweka herufi"S" badala ya X! pili unamaanisha nini kuandika "Malecture's" ulikuwa unamaanisha ma lecturers!? ambayo pia siyo sahihi kwa mfumo wa kiswakinge, ukishaweka"ma" huna haja ya kuweka "s" mbele ya neno "lecturer!

Kikubwa umenielewa..!!
Na hiyo inaitwa VIOLATION OF LANGUAGE.!
Nimeviolate mpaka basi..!
 
Back
Top Bottom