Tukaribie cha usiku jamani...!!!!

We jamaa kwa madikodiko sikuwezi. Umemaliza mitihani?
 
Mtoto wa kiume, kula ugali dona au mtama kwa maharage...

Hatutaki baadae kuja kuomba ushauri ukipata....
Ushauri gani wa watu wa maeneo ya dachilam...??? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Usiku unakula msosi wa ajabu hivo! ndo maana mnaota ndoto mnakimbizwa na mapanga afu mnakuja kuomba tafsiri ya ndoto humu😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…