<br />
<br />
Hapana,math haija-fail hapa.Huyu bado anadaiwa sh.980,kama wamemkalia kooni kulipa deni,auze lile shati(sh.970) then aongezee na ile sh.10 aliyonayo mkononi atapata jumla ya sh.980 anayodaiwa,hakuna kilichopotea hapa!
Ametumia 970/=:
Gharama kutoka hela ya mama: 485/=
Gharama kutoka hela ya Baba 485/=
Kawarudishia:
Mama 10/=
Baba 10/=
Baki 10/=
Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten. NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF