Tujuzane wapenzi wa movies

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
468
1,000
Salam wakuu,

Naomba tuambiane nani actor/actress wako bora hasahasa kutoka Hollywood.

Mi naanza na hawa wangu;
1.Danzel Washington
2.Mark Wahlberg
3.Leornado Di Caprio

Tiririka wako
 

Geocruz89

Senior Member
Sep 1, 2012
104
225
1. Luda Chriss
2. Joseph Sikora akaTommy Heagan
3. Angelina Jolie
4. John Depp aka Rango/Captain Jack Sparrow
5. Jim Carrey
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom