hayo maneno uliyo sema YOU HAVE SUCCEFULLY SELECTED mimi kama mimi sijawahi kuyaona hapo kwenye kibox cha application bali nilikua nayakutaga kwenye my profile-VIEW MY SELECTION STATUS tena pale chini mwisho, sasa sijui kama wengine wanayakuta hayo maneno kwenye application icon labda mnijuze wakuu.
apo gudah....
yah ipo tena bolded kwa rangi nyekundu
hata kwangu yapo bold nayaona, issue nikwamba hujaelewa sali langu umekurupuka tuu.
angalia hapa jinsi ulivyosema kwamba HUJAWAHI KUYAONA...... ndo nimejibia apo kijana unajichanganyahayo maneno uliyo sema YOU HAVE SUCCEFULLY SELECTED mimi kama mimi sijawahi kuyaona hapo kwenye kibox cha application bali nilikua nayakutaga kwenye my profile-VIEW MY SELECTION STATUS tena pale chini mwisho, sasa sijui kama wengine wanayakuta hayo maneno kwenye application icon labda mnijuze wakuu.
juz nmefanya 2nd selection nikaambiwa selected kweny MEDICAL LAB muhmbil cha ajab jana naingia kwenye profile yangu nakta nmeambiwa nfanye 2nd selection ,kuangalia mambo ya kchagua yalyo bak kwa Science elimu kidogo ndoinamkopo japo na wenyew n kdogo bas nkachagua Education st.joseph campus ya Arusha nikakubaliwa, mm nmesoma CBG nakaufaulu kapo ivi BBB , ndoto zangu ilikuwa n kusomea mambo ya Afya eg-MEDICAL LAB, MD, Nursing etc, wanajamv naomba msaada wa mawazo kama kuna alternative ambayo naweza kfanya ili ndoto zang ztimie', mawazo yenu yna umuhm sana kwang
Ni Ajabu Mnatarajia Kwenda Chuo Hata Succesful Hamjui Kuandika, AIBU
Yah ni kweli wao huwataka watu wote waliopangiwa vyuo lakin wakashindwa kuripot wandike barua! Zoezi hilo hufanyika mwakani wakat ukitaka kuomba tena!Kuahirisha mwaka nasikia mpaka uandike barua tcu kuna ukwel hapo ndugu?
Au unafuata process gan?
Jonatus when they say you have been selected. Wanamanisha umechaguliwa kati ya vyuo ulivyoomba.au wanaweza kukubadilishia program nyingine
YAn we achA tu ni shida!! Hakuna contact number