Hapo kwenye RUNNING SERVICES,Unaona device RAM,apps zinazotumika na kuna options za kuzisimamisha hizo apps, zile system apps ukitaka kuzisimamisha unapewa onyo kuwa zinaweza kuchangia apps nyingine zisifanye kazi vizuri.View attachment 1224041View attachment 1224042View attachment 1224043
DEMO MODE, Inahusisha kubadilisha mwonekano wa TASKBAR,pale juu kama network.Ukiweka DEMO MODE ON halafu chini ukaruhusu SHOW DEMO MODE utaona inakuonyesha alama ya WI-FI pekee kwenye networks signs,alama za Mtandao kutoka Mobile carrier/operators Kama TIGO, VODACOM, HALOTEL, AIRTEL, hazitaonekana.View attachment 1224055View attachment 1224056View attachment 1224057
DEBUGGINGKwenye USB DEBUGGING ukiweka ON, hiyo inamaanisha unaweza ku install APP yoyote kwenye simu yako kwa kutumia Computer ya Windows au Apple kwa USB CABLE.Hiyo imeweka kwa kuwa Kuna baadhi ya APPS ili uwe nazo inakubidi utumie PC.
Na ukitaka ku ROOT smartphone pia kwa kutumia APPS za PC,na pia Ku CRACK PASSWORDS.
Kama kawa haramia,tuwasubiri wengine waendelee kushusha nondo.Yes mkuu
SELECT USB CONFIGURATION,hapa ukichomeka Smartphone yako kwa kutumia USB kwenye MEDIA yoyote,kwa mfano PC automatically itafanya chaguo lako automatically kama ni ku Charge only,MTP (Media Transfer Protocol),PTP (Picture Transfer Protocol),RNDIS (USB Ethernet),Audio source au MID.View attachment 1224078
BLUETOOTH AUTO CONNECT.
Ukifika mahali kuna Bluetooth audio device,yakwako ikinusa tu tayari itaungana na hiyo device.Unaweza kucheza nyimbo,movies,podcasts zitasikika Kwenye spika.View attachment 1224097
INPUT:
SHOW TOUCHES.
(1)SHOW VISUAL FEEDBACK FOR TOUCHES.
Hapa kila ulipogusa kwenye screen yako kuna alama ya doa inajitokeza kuonyesha ulipogusa.Angalia hiyo video,na kwenye picha pia kuna hiyo alama kuonyesha nilipogusa na kidole.View attachment 1224132View attachment 1224133View attachment 1224134View attachment 1224135View attachment 1224136
INPUT:
(2)POINTER LOCATION
Kila sehemu unayogusa inachorwa mistari,mfano angalia picha hizi:View attachment 1224145View attachment 1224146View attachment 1224147View attachment 1224148
Kasi gani mkuu ya net au ya kufungua. Mafail
Lakini kwa nini uhangaike na simu zenye storage ndogo? wakati kuna simu nyingi zina storage 32,64,128 GB na zinauzwa kwa bei poa kabisa.Kuifanya simu yako iwe na kasi ya ajabu na nyepesi hakuna njia nyingine zaidi ya kupunguza mavitu ndani ya simu kwenye storage ni kufuta tu
Baada ya kufuata hizo process nilizozitaja, ingia settings>developer option>enable usb debugging.Nielekeze , shemeji yako anahangaika daily kuiconect redmi7a yake na desktop au pc
Lakini kwa nini uhangaike na simu zenye storage ndogo? wakati kuna simu nyingi zina storage 32,64,128 GB na zinauzwa kwa bei poa kabisa.
Kwa mfano unaweza kupata kitu kina 32gb(Sizungumziu TECNO,ITEL,and something like that) kwa laki 350000 tu,au 64 GB kwa laki 4 tu au 450000 tu,na 128 kuanzia laki 5 na kuendelea.
Okay, sawasawa...asante kwa kunisahihisha mkuu.Ili kupata DEVELOPER OPTIONS unabonyeza Kwenye build number mara 7