Tujuzane kuhusu scales za mishahara (esp. za GoT)

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,012
Wanabodi heshima mbele,

Sanjari na zoezi zima la kutafuta ajira ni muhimu pia kwa sisi watafuta ajira kuwa na taarifa sahihi kuhusu kipato-tegemewa kuhusiana na ajira tunazoziomba. Kwa minajili ya kuujuza umma wa watafuta ajira ingependeza kukawekwa hapa jamvini ule mwongozo wa scales za serikali na agencies zake mbalimbali zinawekwa bayana hapa. Pia kama kuna waajiri wengine nao wanaenda kwa mfumo wa scales nazo itapendeza zikiainishwa pia.

Ni hayo tu!
 
Fresh first degree holders wengu huwa wanaanza nakilo sita na nusu take home kama kilo nne na nusu. Ila kuna marupu rupu ya hapa na pale so ukijibana life linaenda tu, hii ni kwa serikalini.
 
Fresh first degree holders wengu huwa wanaanza nakilo sita na nusu take home kama kilo nne na nusu. Ila kuna marupu rupu ya hapa na pale so ukijibana life linaenda tu, hii ni kwa serikalini.
Hapo ndugu unakuwa hujasaidia mjadala..muainisho wa scales na respective mshahara ndio hoja hapa.
 
Fresh first degree holders wengu huwa wanaanza nakilo sita na nusu take home kama kilo nne na nusu. Ila kuna marupu rupu ya hapa na pale so ukijibana life linaenda tu, hii ni kwa serikalini.

Lugha ya "KILO NNE NA NUSU" huenda isikupe shida wewe na wale wa aina yako lakini kuna wana jf wengine hawaelewi kabisa unachomaanisha.
 
Kwa walio serikalini nafikiri ni rahisi kutujulisha, sio lazima kuweka zote, cha msingi weka ile ulioajiriwa nayo ili wengine tujue. Tukipata wa aina tofautitofauti mwisho wa siku tutajumuisha na kupata ki2 kamili. Nawakilisha
 
digrii holder anaanza na TGS 469,000 take home 371,000

hyo ni kwa kaz za kawaida

ingawa kuna kaz maalum mshahara wafka had 1.2 milioni kama TRA, BOT, TANESCO, NECTA, !!n.k.
 
afisa utumishi TGS D1 huyu ni wa bachelor anaanza na 446,100/=x9000 hadi tsh 545,100/=kwa mwezi.
 
point ov corection, nt everyone bt some ov u, mbona mi cjui, then watu wangekua wanajua wangekua washajitokeza.

Point of correction too: not some ov u, but everybody should know it, just check wiz u're Director of Administration, he/she will let you know.
 
Back
Top Bottom