Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,451
- 1,826
Habari zenu wana jamvi na poleni na machofu ya mchana kutwa...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, naomba kujuwa kuhusu fani ya urubani gharama zake mpaka kufikia rubani wa ndege za umma katika nchi kama vile kenya, South africa, America nk (NB: lakini isiwe ndani ya Tanzania) pia kama kuna scholarship zinatolewa kwa fani ya urubani pia tujuzane pamoja na vyuo vinavyotoa....
Naomba kuwasilisha
Ahsanteni
KPlease check me at 0625755889
Ila ungeeleza humu ungetusaiduaPlease check me at 0625755889
kisa cha kukucheki huko na usiandike hapa ni kipi?Please check me at 0625755889
Yeah trueNingewaomba wenye uelewa na mambo haya watueleze hapa jamvini ili na sisi tupate shule kuhusu haya mambo jamani