Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 483
Ipate hii kwa
Tshs 260,000 tu.
Popote ulipo.
Mzee wa kufinya chupi habari ya saa hizi mkuuOne million pacco rabana...joop..xs pacco rabana...pacco black
Beiii gan????
Itaje basi daaah!!Unajua ni cologne gani natumia?Ilinipa mwanamke wa kikenya aisee.View attachment 1128638View attachment 1128639View attachment 1128642View attachment 1128643
Imekugharimu kiasi gani??Nimeagiza hii kutoka Dubai
Kutokana na wadau wengii kuipendekezaView attachment 1048933
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina ya hiyo perfume? Naitaka hiyoUnajua ni cologne gani natumia?Ilinipa mwanamke wa kikenya aisee.View attachment 1128638View attachment 1128639View attachment 1128642View attachment 1128643
Khaaa, kuna wadada wajasili jamaniUnajua ni cologne gani natumia?Ilinipa mwanamke wa kikenya aisee.View attachment 1128638View attachment 1128639View attachment 1128642View attachment 1128643
Ipo mkuuHivi hii bado ipo?
Tatizo hizi perfume za brand kubwa levo hizo mnauza feki zake
View attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Kwa hizi sms zako hauko romantic kabisaaaaaUnajua ni cologne gani natumia?Ilinipa mwanamke wa kikenya aisee.View attachment 1128638View attachment 1128639View attachment 1128642View attachment 1128643
Khaaa, kuna wadada wajasili jamani
Unaweza kuta wewe tu ndio haujawahi tongoza,teh teh siku hizi kibao tu town hawasubiri,mpaka mwanaume ndio tunajikuta tunaomba muda wa kufikiria hahahaha.Ila ni improvement,tatizo huwa mwanaume tunahisi kama tunaelekeza pabaya na tunakuwa na hofu kuwa nini hasa ni nini
Mkuu huu mzigo nauli yake ipoje na wapi naipata?