Tujuzane aina ya perfume/body spray unayotumia

Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
543
1,000
Khaaa, kuna wadada wajasili jamani
Unaweza kuta wewe tu ndio haujawahi tongoza,teh teh siku hizi kibao tu town hawasubiri,mpaka mwanaume ndio tunajikuta tunaomba muda wa kufikiria hahahaha.Ila ni improvement,tatizo huwa mwanaume tunahisi kama tunaelekeza pabaya na tunakuwa na hofu kuwa nini hasa ni nini
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
6,385
2,000
Invictus,...the best .niliwai nunua mara ya kwanza hii somwea huko emirate 40$..nkaja ikuta mcity huku inauzwa 360k

Last year nkamkuta mdada wa kiarab mcity ndan pale new shop anauza 50k fake lakin za re fill kachupa ka 20ml i think

Na hapo hapo opposite duka wanauza original 360k ..ila nilishangaa kwamba haruf ni ile ile,tena ile fake ndo ilikua ina last

I said thank G...
This is the world we live in.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom