Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hivi kuna tofauti ya PERFUME na SPRAY? naomba kujuzwa.

Na vipi hii Spray inaitwa ACTIVE ipo vipi? Maana kuna she kanipa ushauri ninunue SPRAY iitwayo ACTIVE
 
Nikiwa na hizi kitu, najiona swafi kabisa

activelle_extreme.jpg
oriflame-giordani-gold-man.jpg
Oriflame-Eclat-Homme.jpg
Men_Original_Soap_Bar_100.jpg
nfm-spray.jpg
 
Back
Top Bottom