ignatus peter
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 365
- 516
Sie wenye kikopo cha mafuta ya mgando ya buku mafuta ya nwele ya buku tunacomentije jaman!
tusubiri mwongozo wa wenyeji mkuu nisije ropoka eti natumia perfume ya SAINT ANNA!! Lol! Chumba kizma kuna kakopo ka mafuta ya mgando na kachupa ka pinki ka mafuta ya nywele hehehe tuwaachie wenyewe bwanana sisi tunaopaka sabuni na mafuta ya kupikia tunaruhusiwa hata kuchungulia huu uzi?
Sent using Jamii Forums mobile app

samahani mkuu ayo ni mafuta ya nywele!?Mimi ambae siwezi kuafford hayo malaki natumia hiyo Creed ya 15000 inanukia vizuri sana hata kama ni clone basi waliumiza kichwa sanaView attachment 1018912
Hapana ni mafuta ya ndevu
Ngapi hii bos?
Wazee wa dry impact hatuna mambo mengi..
Nadhani tunapaswa kuanzisha uzi wetu ili tuweze kufarijianaSie wenye kikopo cha mafuta ya mgando ya buku mafuta ya nwele ya buku tunacomentije jaman!
Hahahtusubiri mwongozo wa wenyeji mkuu nisije ropoka eti natumia perfume ya SAINT ANNA!! Lol! Chumba kizma kuna kakopo ka mafuta ya mgando na kachupa ka pinki ka mafuta ya nywele hehehe tuwaachie wenyewe bwana
Black carView attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?