The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 563
Bei chee kabisaaa... eti ths 7,000/= sasa
Mkuu "inaendaje" hii? I mean price!
Joop sikushauri.inanukia kama warabu warabu na iko very strong.NiligawaIyo Joop! ni how much na inapatikana wapi?
Sawa mkuuJoop sikushauri.inanukia kama warabu warabu na iko very strong.Niligawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zile za kupima?Mimi ambae siwezi kuafford hayo malaki natumia hiyo Creed ya 15000 inanukia vizuri sana hata kama ni clone basi waliumiza kichwa sanaView attachment 1018912
Ndio yakupima inakaa almost a day kesho yake inakua imefifia kidogoNi zile za kupima?
Inakaa muda gani kwenye nguo?
Wanauza wapi?Ndio yakupima inakaa almost a day kesho yake inakua imefifia kidogo
Nilinunua 15000 MoshiWanauza wapi?
Mimi sizijui perfume babyKhantwe nisuggestie pafyumu na mimi ya maana isizidi 50k hizi body spray za 6000 mafua kila siku hayaishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea lakini na mtengenezaji...hiyo hapo ni ya Lancôme.OUD wako vizuri sana hasa kuna moja nliipata CITY MALL OUD 24 Hours sema hawana ile ya nguo na mwili kuna chaguo moja tu na upatkanaji wake kazi
Sent using Jamii Forums mobile app