Ka savauge kananifany nijione msaidiz wa mkurugenz wa TPAPerfume uleta confidence aisee hata kama huna ela...
Ila hii monaco si ya kike mkuuBerries weekend na monaco View attachment 1732065
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hata berries weekend ni ya kikeIla hii monaco si ya kike mkuu
Body sprush nyingi hua zina harufu iyo au perfume za kike na zipo nyingi sanaNi perfume/body spray gan yenye smell nzuri ambayo mixing yake ina rose flower au vanilla kimoja wapo ndan yake wajuzi nitajieni tafadhal
Body sprush nyingi hua zina harufu iyo au perfume za kike na zipo nyingi sana
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Wanapewa ubalozini sidhani kama ipo mitaaniNi ya aina gani mkuu
Hizo hapo sampo nyingine nimekosa pichaMfano wa sample mkuu
Kama hutojali sana kanunue sansiro perfume code "K1" itakupa vanila, ujazo ni kutokana na mfuko wako either uchukue kama ki pen ili utest..ni around 2500 tuNi perfume/body spray gan yenye smell nzuri ambayo mixing yake ina rose flower au vanilla kimoja wapo ndan yake wajuzi nitajieni tafadhal
Kama hutojali sana kanunue sansiro perfume code "K1" itakupa vanila, ujazo ni kutokana na mfuko wako either uchukue kama ki pen ili utest..ni around 2500 tu
Pamoja manShukran mkuu
ShngapNatumia hii kitu for years na haijawahi niangusha popote..View attachment 1719331
Vinasaidia sana asee..m656 ni invictus na hua inanukia vizuri sana manvdude vnanistiri hivi kam sna hela...navinunua kma vinne hiv nkitoa 10,000 halaf nkachangany codes...nkachkuw k1, nkachanganya na code 656...kudadeki....sio kwa knukia huko....
Sent using Jamii Forums mobile app
sanaaaaVinasaidia sana asee..m656 ni invictus na hua inanukia vizuri sana man
Price ipoje na availability,
Sh ngapi hiyo