lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,184
- 2,689
MmmmhNna kaharufu fulan amazing kila mahali nikikaa na MTU anauliza ni pafyum gan inanukia vzr hivyo ni simple tu ka body spray kangu ka knowledge na gelly cologne ya lovelia ya floral na kuna kakitu kengine ntamalizia baadae halafu hiyo mixer haiishi kwenye nguo!
Mkuu weka kapicha,na beiPaco rabanne invictus.
Mawasiliano muhim Kaka,nami nahitajiSkinn by titan 70,000tsh
Adidas ni 40,000tsh kwa zote mbili
Just Cavalli ni 180,000tsh.
Hizo zote zipo poa sana na watu wamezisifia sana.
SKINN, KWA PERFUM NA ADDIDAS KWA DEO
Aqua di gio ina harufu moja amazing sana. Inakuwa harsh saa moja la kwanza ila baada ya hapo utaipendaLacoste Live by Lacoste by Lacoste 170000/= ila kuna nyingine nzuri tu Kama 212 For Men by Carolina Herrera,Hugo red by Hugo boss hii nayo ni nzuri,au kama uko na hela nyingi tafuta product za Torm Ford au Giorgio Armani especially Emporio Armani au Aqua Di Gio ni nzuri na nilishazitumia pia.
Unairusha hata jina hauandikiKama kichwa uko smart,mfuko uko smart,mavazi smart basi hii kitu inakufaa ni harufu ya gharama.ukitimba shoo za kibabe.bro wanakomaView attachment 490216dizain kama nawatangazia biashara halafu hawanilipi.
Ila ni moja kati ya harufu za kibabe sana sitanii.
Ukiipata nitafute unipe thanks
Addicted