Acha uchochez au milion saba unayo
Umemjua leo????Wewe mbona anacheo kikubwa sana huyu
Kwani hujui kuwa alikuwa anshiriki kampeni za marudio????Wewe huyu mwenye arusha yake sio mwanasiasa ni mutumishi wa serikali
Mbona uko moto sana mkuu talatibu basNina wasi wasi sana na Mbowe, Lipumba na Makonda
Mbowe kwasababu hana dhamira ya dhati kuongoza nchi Bali yupo kupiga pesa kivyvyote itakavyowezekana. Mfano kumuuzia Lowasa nafasi ya kugombea urais.
Kung'ang'ania uenyekiti na huku akilazimisha kuchaguliwa kwa viongozi watamuunga mkono ili azidi kupiga pesa za luzuku.
Mkwepa kodi Mkubwa.
Kuhusu Lipumba ni kukubali kutumiwa na ccm kuivuruga cuf.
Makonda..kuchongea wenzie iliaonekane ni mchapa kazi..mfano alivyomchongea marehem Kabwe.
Vp mkuuMbowe evidence he sold Chadema for Tshs.11Billions