Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Naomba kila mtu atakaye pita hapa asisahau kuniachia kaa ujumbe kake ni yupi mwanasiasa mchumia tumbo yaan anafanya siasa zipi had kumutambua kuwa huyu ni mwanasiasa mchumia tumbo
Siyo kutaja tu aina ya siasa anazofanya bali utaje kabisa hata jina lake ili tumujue tumuogope kama ukoma
Siyo kutaja tu aina ya siasa anazofanya bali utaje kabisa hata jina lake ili tumujue tumuogope kama ukoma