otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 136
- 235
Tujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie


Chako ni ChakoTujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie![]()
Broo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka?Manyovu Kigoma

Karibu sumbawangaWana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu,
Buguruni kwa mnyamani, karibuni
Toka unikimbie huku nyumbani songwe mambo hayaendi kabisa tafadhali rudiWana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu,
Buguruni kwa mnyamani, karibuni
Mjeda wangu,ngoja nijeToka unikimbie huku nyumbani songwe mambo hayaendi kabisa tafadhali rudi

Wachawi wengiKaribu sumbawanga
Nilijikuta navuta hewa nikiwa hapaBroo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka?