Tujiweke karibu na Mungu ili atupatie yaliyofichika katika akili zatu za kibinadamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujiweke karibu na Mungu ili atupatie yaliyofichika katika akili zatu za kibinadamu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by rubymbuya, Sep 14, 2010.

 1. r

  rubymbuya New Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi umewahi kujiuliza ni kwa sababu gani nchi ya Tanzania inazidi kudoroda katika nyanja zote za kijamii-kimaadili, kiuchumi, kiteknolojia, n.k?

  Ni wakati muafaka sasa Watanzania tutambue kuwa kila jambo linalotendeka katika ulimwengu huu, lina mahusianoa makubwa na ya moja kwa moja na ulimwengu wa kiroho. Hivyo basi, tutafute hayo yaliyofichika na kupumbaza ufahamu wetu kushindwa kujitambua na hali ya umasikini unaotawala nchi hii ya Tanzania ambayo Mungu ameijalia kuwa na maliasili pekee na kwa wingi karibu ka siyo zaidi ya mataifa mengi makubwa.

  Tujiulize, ni kwa nini tumekuwa madaraja wa mataifa makubwa kutajirikia katika ardhi yetu huku wakiwezeshwa na baadhi ya Watanzania wenzetu?

  Ni wakati muafaka sasa kujitafakari na kubadilika kiroho kwanza.

  Asanteni.
   
Loading...