Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,762
- 8,533
Wakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.