Tujiulize kuhusu tunachoamini

Tujiulize kuhusu tunachoamini

Joined
Nov 2, 2023
Posts
62
Reaction score
67
Kitu kinachofanya mpaka tunashindwa kujitambua ni uoga, uvivu, kujidanganya, tunapenda tuwe salama kiakili na tunashindwa kuangalia maisha kwa uhalisia wake.

Kwanini tumekuwa waoga kujiuliza binafsi yetu sisi ni nani kabla hatujasoma chochote na kuamini chochote.

Tukishia kujibu kila mtu abaki na imani yake tumeshaonyesha kukubali kutengana kama binadamu na lazima hatutokuwa na upendo kati yetu na si jambo la kimungu hilo.

Jambo la kimungi ni kuto ogopa, kutoa uvivu na na kajiuliza kwa pamoja sisi uhalisia wetu ni upi kwakuwa ni wote wamoja.

Kitu chakwanza kujiuliza ni Mungu ana dini yoyote kati ya zote ama ni wanadamu ndio wametengeneza dini ili wawe na Mungu. Haina maana kama Mungu ni mmoja na anamasharti tofauti kwenye kila dini. Maana ya Mungu yenye maana ni nguvu ya uhai na akili iliyo kwenye kila kiumbe lakini haihusiani na dini yoyote.

Tunajiweka wapi, hatuoni umuhimu wa kujua hilo au tumezidiwa na njaa ya kutafuta vya nnje kuonekana na wengine na kuridhikia hapo na uhalisia wa maisha kutupita.
 
Dini ya kweli ni hyo hapo​

Ufunuo 14:12​

Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
 
Ukisema hivyo una maana dini zingine ambazo sio wakristo na sheria zao wanazosema ni za Mungu pia una maana wao ni waongo.
 
Back
Top Bottom