Mkuu hii avatar yako inatafakarisha zaidiHii inatafakarisha sana.
Kitafurahisha sana, tuvute stool tuketi, chai ya moto inakaribia kutengwa[emoji18]Kifuatacho Itv
HahahaKitafurahisha sana, tuvute stool tuketi, chai ya moto inakaribia kutengwa[emoji18]
Sasa hivi hakuna tena yale ma nyuzi ya kuomba ushauri sijui;Hahaha
Yetu macho
HahahahaSasa hivi hakuna tena yale ma nyuzi ya kuomba ushauri sijui;
#Nimefumaniwa na mke wangu.
#Msaada nguvu zangu za kiume zimekata.
#Wenye madeni na tulioshindwa kulipa tukitane humu.
#Wazee wa kubeti.
hatare juu ya balaa tu na watu wasiojulikana[emoji18]
Nakwambia heeehe.Hahahaha
Wasiojulikana wamechafua hewa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakwambia heeehe.
Hadi nimekusahau jinsi unavyonipa magharibi ya moyo[emoji23] .
We acha tu[emoji18]
Nimeikuta sehemu WhatsApp nimependa content yake hapoView attachment 895791