Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,826
- 58,479
Ni sawa ila mkuu kumbuka kuweka jino kuwa jeupe si afya..Achana na jino kuwa jeupe, huo mchanganyiko huamngamiza pia bacteria wanaoharibu meno
Hasa ile ya charcoal
Mada fantaNitoleee vigimbi vya kipale ha
Una kazi ya kupandisha milima tuMada fanta
Chukua UNGA wa mkaa kiasi na chunvi kiasi. Huo mchanganyiko tumia kama dawa ya meno. Baada ya wiki Moja jino jeupe kama mawingu ya kiangazi
Ngoja tukomboe taifa kwanzaIla wanaume mna matatizo aisee, mtu anaamua tu asiwe anapiga mswakiš¤¢
Mpige dendaSawa mkitoka msisahau jamani.. nipo na mwenzenu hapa ni hatariiš„µ