Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,769
- 58,341
Ni sawa ila mkuu kumbuka kuweka jino kuwa jeupe si afya..Achana na jino kuwa jeupe, huo mchanganyiko huamngamiza pia bacteria wanaoharibu meno
Nipe maelezo mafupi kuhusu huo.mchanganyiko na bacteria wanavyokufa