Shule ya msingi ni zile za serikali ambapo kuna elim bure na primary ndo private schools".......anasoma shule ya msingi......hakuna kwenda sijui primary wala nini......" una maana gani hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ya msingi ni zile za serikali ambapo kuna elim bure na primary ndo private schools".......anasoma shule ya msingi......hakuna kwenda sijui primary wala nini......" una maana gani hapa?
Na kuwepo kwa kipato chochote kitakachokupa uhakika wa kuingiza pesa.Siri ya PESA ni kuwepo kwa mzunguko.
Shule ya msingi = Kidumu + ufagio
Primary school = Basi la njano + Matron
Emaphakadeni
Hapo kwenye neno "Tusikushauri biashara ilishashindikana ndipo ulipoharibu" ..pesa invest...ukitunza tu na kutegemewa mshahara utaishia kwenye rat race....wallah nakwambia badilisha hio mentality yako
Mzazi anavyoumiza kichwa hivi alafu mtoto akalete utopolo shuleni 😤.
Naaam, hatuombei hayo yatokee mkuu.Mapenzi ya Mungu hayo mzazi unafanya uwezavyo mengine Mungu atajazia
Mtoto aliyelelewa ktk mazingira ya frustration ya maisha kama hizo frustrations ya mleta mada lazima naye ni frustrated tangu udogoni. Kwa hiyo siyo ajabu aka-opt hata kuwa mpiga debe stendi kinyume matarajio ya mzazi......hapo ndipo mzazi sukari/pressure hushuka na kupanda.
Hayo ni matokeo.si tunajadili utunzaji(usihamishe magoli)Mzazi anavyoumiza kichwa hivi alafu mtoto akalete utopolo shuleni [emoji36].
Usifanye biashara kwa kufata mkumbo,kabebe hata tenga la nyanya kama mtaani kwako kuna uhitaji mkubwa wa nyanya.Yani Hadi nasema hivyo ujue nshajaribu sanaaa
Intelligence ni conditioned gene ambayo kwa kiwango kikubwa Mama ndo anamrisisha mtoto , huku baba akichangia kiasi kingine.Mzazi anavyoumiza kichwa hivi alafu mtoto akalete utopolo shuleni [emoji36].
Karibu Tena ...Tena..TenaYani Hadi nasema hivyo ujue nshajaribu sanaaa
Shida zote hizo za kusomesha mtoto shule za mamilioni huku kipato ni kidogo why?
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said chief!Intelligence ni conditioned gene ambayo kwa kiwango kikubwa Mama ndo anamrisisha mtoto , huku baba akichangia kiasi kingine.
Kwa ufupi hii KITU inaathitiwa kwa Genetics na Mazingira ikiwemo malezi .
Kama mkeo ni Kilaza .. Na wewe Baba ni kilaza.....
Uwezekano wa kuzaa kilaza ni mkubwa kushinda.
Sasa usije ukashangaa, Umempeleka mtoto shule ya gharama , alafu anakuletea Miswaki kwenye matokeo ..
Jambo la msingi ni kumpa mwanao mazingira yatakayomruhusu awe na UCHUMI WAKE.
hapa Duniani Pesa ndio kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app