Elections 2010 Tujiondoe CHADEMA

hakuna kujitoa mkuu kwani 'matakwa yako' hao waheshimiwa wametimiza.
 
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.

Mkuu Isaac nadhani hadi sasa umepata jibu, ingekuwa inaruhusiwa basi tungetafuta kadi mbili mbili za chadema tukamiliki!
 
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.

Tuliza pressure Bro. kitaeleweka tu
 
tuanze kufungua matawi sasa na kuingiza wanachama wapya 2015 ikija tuchukue nchi
 
Back
Top Bottom