Tujikumbushie kidogo

Enzi za Madenge... lile sasa ndo lilikuwa gazeti...SANI!
 
Prof. Ndumilakuwili, pimbi, baba ubaya, mzee kifimbocheza, born town vs bush stars, zena vs betina, lodirofa, cha ulive Bw. sokomoko n.k aiseeee huwa nikikumbuka hizi katuni nacheka sana.. watunzi na wachoraji mmeenda wap? siku hizi kuziona ni nadra sana. kwa kipindi kile kulikuwa na vijarida vya mapenzi ukiwaona wale wasichana mule ndani unadhani hakuna uhalisia sasa baada ya kukua na kuona dada zetu duh ndo unajua kumbe uhalisia upo .. hipsi za kufa mtu sasa makalio usiseme babakee..
 
hahahaha picha za wale wadada kwenye magazeti saivi mchina kawasaidia tunaziona live
 
Hiyo ya Mungu wa Banian kuibwa nadhani sio katuni mzaha bali ni kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…