Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,930
- 100,217
Unamshambulia bila kujikita kwenye maneno anayosema?Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
CCM has lost directionHili litakuwa liccm, hayanaga logic wala reasoning.
Milio imeanza kusikika, hoja yake imeemda mjini.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Kuna muda uwe hata na aibu na ufiche ujinga wako.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
KweliTukiachana na mambo ya Gwajima, nchi nzima hakuna kilichofanyika, sio kawe tu, ni nchi nzima.
Mnataka kuonyesha kwamba sehemu zingine kazi imefanyika ila kawe ndio hakuna kilichofanyika, sio kweli.
Tulia mwenyewe mbeya mjini hakuna alichofanya ndio maana amekimbia jimbo kwenda jimbo jipya la Uyole, na huyo ni spika.
Njoo tukueleweshe usiogopeKwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Nadhani wewe unafaa kuwaGwajima ni mpumbavu sana
Anakusanya Kodi mpaka ulalamike!Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya,
Hata sasa Bwana katuonekania.Unalia na kububujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi?
Ngoja na wewe uchukuliwe na watekaji uje upatikane huna macho.Ndiyo utamwelewa Gwajima.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Kawaambie maboss zako hii imebumaJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Yaani uharibu sehemu X harafu ukimbilie sehemu B ukaharibu tena? Utakuwa na Akio timamu?Tukiachana na mambo ya Gwajima, nchi nzima hakuna kilichofanyika, sio kawe tu, ni nchi nzima.
Mnataka kuonyesha kwamba sehemu zingine kazi imefanyika ila kawe ndio hakuna kilichofanyika, sio kweli.
Tulia mwenyewe mbeya mjini hakuna alichofanya ndio maana amekimbia jimbo kwenda jimbo jipya la Uyole, na huyo ni spika.
Wewe ni mpumbavu na unaowatetea na waliokutuma...kichwa chako ni mzigo kwa miguuGwajima ni mpumbavu sana
Yaani ni wapumbavu hata mambo ya ku reason kwa kawaida wanataka mpaka muongozo wa chama...no matter vijana wenye akili wakienda upande ule wanakuwa kama mazezetaSiyo kila kitu ni siasa msiwe wajinga , mnadumaza fikra kuamini kila kitu ni siasa ,ABDUL MTOTO WA SAMIA AU MTOTO WA WAMBURA , AU MAJALIWA
AKICHUKULIWA HALAFU AKAOKOTWA HANA MACHO SAMIA AU WAMBURA AU MAJALIWA ATAJISIKIAJE? kwani hili nalo linahitaji siasa!? CCM mjifunze kutuliza vichwa kutafakari mambo kwa kina mnatia aibu sana na ndio mnalifanya taifa lisisonge mbele kwa ujinga wenu huo.
hoja yake inamashiko au haina kama haina ikatae kwa hoja na mifano nasio kumshambulia na kuwatoa watanzania kwenye mstaari..Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.