Tujikumbushe viatu Saa Nane utanikoma Vs Chacha.

Tujikumbushe viatu Saa Nane utanikoma Vs Chacha.

Huli chakula,ful mnyonge

siku za sikukuu mkisha kula mnaulamba alaf mnakusanyana mtaa mzima mna kwenda kutembea sasa sisi tulikuwa tunaishia kwenye mabanda ya kuonesha picha za captain Derick mkandala(rufufu)
 
c babluu, hv we ulinunuliwaga chacha manko?

Kwenu ulitokaje? au babluu alikuwa "mshikaji"..........chacha manko sikuwahi kuvaa lakini chachacha na gogogo nilivaa. Halafu mlipofika darasa la sita mlikuwa mnachakachuana duh...Hebu nikumbushe jina la yule jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom