Tujikumbushe viatu Saa Nane utanikoma Vs Chacha.

wadada mnakumbuka mkanda wa kipepeo na mokasi. dah cku ukivaa hvo afu ukaenda church lazima upige picha!
 
afu ukinunua barafu unawagawia wenzio yale maji ya barafu. wkt huo mikono michafu umeshka vumbi lakn wala hata hujali!
hahahahahahahahahahahahhaha
charm umenikunbusha kitu me nilikuwa kama bodyguard wa mtu nambebea madaftari alaf mapumziko ananikatia barafu. Yani weeee acha tu!
 
Barafu yenye sukari+maji+rangi,unakula na bagia za shilingi..

asikwambie mtu mwanafunz ni mwanafunz tu hata awe mtu mzima bdo ni mwanafunzi. juz kati tupo chuo nikanunua karanga c wanafunz wengne wakawa wananiomba pakiti yenyewe moja, nliwagawia bt nlicheka kweli kuna wengne walipata tukaranga cjui tutano lakn waliridhika tu!
 
Sukari Guru,shiling moja.kipande,ukinunu unailamba siku nzima.
 
asikwambie mtu mwanafunz ni mwanafunz tu hata awe mtu mzima bdo ni mwanafunzi. juz kati tupo chuo nikanunua karanga c wanafunz wengne wakawa wananiomba pakiti yenyewe moja, nliwagawia bt nlicheka kweli kuna wengne walipata tukaranga cjui tutano lakn waliridhika tu!

hahahahahahahahahahahahahha
yan mwanafunzi habadiliki kabisa

nakumbuka kipindi hiko chips za 50 mnagawana watu wengi
 
Kama uja nunuliwa kiatu cha sikukuu au nguo lazima ulie maana uwezi kwenda kutembea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom