Tujikumbushe UMBWE

Tujikumbushe UMBWE

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,821
Nimefurahi kuiona thread ya wadau wa Ilboru napenda na siye wa Umbwe tujikumbushe japo kidogo baadhi ya misamiati tuliyokuwa twaitumia pale 'Mti safi'..Baadhi ya misamiati ni kama: Fongo (Uji),, Katizi (Maandazi ya ubapa marefu hivi),, Maini (Maharage),,,, Fulu (Mbege)-lol nimeimiss,,, Maputo (Vyoo vya shimo kule juu dorm 8 na 9 Ukitaka kuingia wavua nguo zote ukiwa nje otherwise darasani hakutakalika). = Wadau nipeni misamiati mingine..Naikumbuka sana Umbwe a.k.a Mti safi a.k.a Umbwe Dume..Nakumbuka kipindi nasoma alikuwepo Mwalimu mmoja wa nidhamu aitwa Mallya a.k.a LOBILO alikuwa mkali huyo kama nini,ukiingia kwenye anga zake tu umeumia...Pia kuna dada mmoja aitwa Farida alikuwa anatuuzia maandazi(Katizi) sijui yuko wapi sasa hivi.................... = Nakumbuka sana Mbege ya Corner bar(ipo karibu na Mto Umbwe) kila weekend tulikuwa tukienda hapo kupata kitimoto na Mbege(lol) = Bila kuusahau ule Wimbo wetu wa shule 'Mungu baba mwenyezi bariki shule yetu.......................Umbwe ni Mti safi wa Matunda bora,yanayojenga maisha(dah)............ = Pia nakumbuka vijiji vya jirani kama KWA RAPHAEL,KOMBO,MANGO,LYAMUNGO,KIBOSHO CENTRAL,LYAMUNGO,NARUMU,UMBURI,KINDI,MANUSHI n.k Naomba kuwasilisha wadau
 
ok si semi ni vibaya kukumbuka tulikotoka ila naona mlolongo utakua. Mpaka shule zote zote ziishe, na bila shaka stori ni zile zile uji, Ugali, Kande, vijiwe vya fegi ndumu, mikahawa, Mademu Samaki na nyimbo za shule.

Tulijumuishe kwa madenti wa miaka hiyo watupe michapo mbalimabli sehemu moja.
 
Nimefurahi kuiona thread ya wadau wa Ilboru napenda na siye wa Umbwe tujikumbushe japo kidogo baadhi ya misamiati tuliyokuwa twaitumia pale 'Mti safi'..

Baadhi ya misamiati ni kama:
Fongo - (Uji)
Katizi (Maandazi ya ubapa marefu hivi)
Maini (Maharage)
Fulu (Mbege) - lol nimeimiss
Maputo (Vyoo vya shimo kule juu dorm 8 na 9 Ukitaka kuingia wavua nguo zote ukiwa nje otherwise darasani hakutakalika).

Wadau nipeni misamiati mingine.. Naikumbuka sana Umbwe a.k.a Mti safi a.k.a Umbwe Dume.. Nakumbuka kipindi nasoma alikuwepo Mwalimu mmoja wa nidhamu aitwa Mallya a.k.a LOBILO alikuwa mkali huyo kama nini, ukiingia kwenye anga zake tu umeumia... Pia kuna dada mmoja aitwa Farida alikuwa anatuuzia maandazi (Katizi) sijui yuko wapi sasa hivi....................
Nakumbuka sana Mbege ya Corner bar (ipo karibu na Mto Umbwe) kila weekend tulikuwa tukienda hapo kupata kitimoto na Mbege (lol)

Bila kuusahau ule Wimbo wetu wa shule 'Mungu baba mwenyezi bariki shule yetu.......................Umbwe ni Mti safi wa Matunda bora, yanayojenga maisha (dah)............

Pia nakumbuka vijiji vya jirani kama KWA RAPHAEL, KOMBO, MANGO, LYAMUNGO, KIBOSHO CENTRAL, LYAMUNGO, NARUMU, UMBURI, KINDI, MANUSHI n.k

Naomba kuwasilisha wadau

Ha-ha-ha-hah!
Your environment was hash.... 🙂
...'Maini' = Maharage? 🙂

.
 
Ha-ha-ha-hah!
Your environment was hash.... 🙂
...'Maini' = Maharage? 🙂
.

Haaha haha ahahah! Nimecheka kwa sauti....Eti Maharagwe kwao yalikuwa sawa na maini! Very funny!
 
Hakika hatutamsahau KIBADENI (mpishi mwanamke) kwa umahiri wake wa kuning'inia na mwiko wa ugali kwenye mchakato wa kuwasongea ugali wanafunzi wote 400 wa shule hiyo wakati huo. Nakumbuka maparachichi , pamoja na duka la mzee Makini, na binti yake mrembo aliyekuwa anasoma Kibosho Girls, nakumbuka bendi ya muziki ya mti safi iliyokuwa inatumbuiza kwenye function mbali mbali, nakumbuka duka la shule na shamba la migomba na mradi wa ndizi mbivu aliokuwa anausimamia mzee Kirama, nakumbuka zoezi la kumenya karanga kwa mzee kirama kule Mkomongo. Naikumbuka shule ya jirani ya mlama , na hotuba za mzee wa Kiraracha Mzee Lyatonga alizokuwa akija kutoa maeneo yale wakati akiwa mbunge wa Moshi vijijini. Je , Daraja la kuvukia machame girls la mto Machame ambao ni mti mmoja tu umelazwa ku-cross huo mto?......nk nk
 
Nimefurahi kuiona thread ya wadau wa Ilboru napenda na siye wa Umbwe tujikumbushe japo kidogo baadhi ya misamiati tuliyokuwa twaitumia pale 'Mti safi'..Baadhi ya misamiati ni kama: Fongo (Uji),, Katizi (Maandazi ya ubapa marefu hivi),, Maini (Maharage),,,, Fulu (Mbege)-lol nimeimiss,,, Maputo (Vyoo vya shimo kule juu dorm 8 na 9 Ukitaka kuingia wavua nguo zote ukiwa nje otherwise darasani hakutakalika). = Wadau nipeni misamiati mingine..Naikumbuka sana Umbwe a.k.a Mti safi a.k.a Umbwe Dume..Nakumbuka kipindi nasoma alikuwepo Mwalimu mmoja wa nidhamu aitwa Mallya a.k.a LOBILO alikuwa mkali huyo kama nini,ukiingia kwenye anga zake tu umeumia...Pia kuna dada mmoja aitwa Farida alikuwa anatuuzia maandazi(Katizi) sijui yuko wapi sasa hivi.................... = Nakumbuka sana Mbege ya Corner bar(ipo karibu na Mto Umbwe) kila weekend tulikuwa tukienda hapo kupata kitimoto na Mbege(lol) = Bila kuusahau ule Wimbo wetu wa shule 'Mungu baba mwenyezi bariki shule yetu.......................Umbwe ni Mti safi wa Matunda bora,yanayojenga maisha(dah)............ = Pia nakumbuka vijiji vya jirani kama KWA RAPHAEL,KOMBO,MANGO,LYAMUNGO,KIBOSHO CENTRAL,LYAMUNGO,NARUMU,UMBURI,KINDI,MANUSHI n.k Naomba kuwasilisha wadau

My favorite: Unaposhuka na basi pale kwa Raphaeli, wakibosho wanakuuliza unaenda Mlama au unaenda Sekondariiii (meaning Umbwe)., and I remember how we use to hate Mlama. Those were good days...unakumbuka mambo ya NIDO?
 
Nyie kumbe ndio mliokua mnatuona sie wa Lyamungo wapori pori eeeh! Mzee Hata mimi pale Lyamungo Makeresho nimetandika sana Fongo=Uji
 
Hakika hatutamsahau KIBADENI (mpishi mwanamke) kwa umahiri wake wa kuning'inia na mwiko wa ugali kwenye mchakato wa kuwasongea ugali wanafunzi wote 400 wa shule hiyo wakati huo. Nakumbuka maparachichi , pamoja na duka la mzee Makini, na binti yake mrembo aliyekuwa anasoma Kibosho Girls, nakumbuka bendi ya muziki ya mti safi iliyokuwa inatumbuiza kwenye function mbali mbali, nakumbuka duka la shule na shamba la migomba na mradi wa ndizi mbivu aliokuwa anausimamia mzee Kirama, nakumbuka zoezi la kumenya karanga kwa mzee kirama kule Mkomongo. Naikumbuka shule ya jirani ya mlama , na hotuba za mzee wa Kiraracha Mzee Lyatonga alizokuwa akija kutoa maeneo yale wakati akiwa mbunge wa Moshi vijijini. Je , Daraja la kuvukia machame girls la mto Machame ambao ni mti mmoja tu umelazwa ku-cross huo mto?......nk nk

Kibadeni si ndo mama Mary mkuu..Hilo daraja la mto Machame tumelivuka sana kwenda Machame Girls siku za weekend
 
Hivi Mzee Wawa bado yuko? Yule mzee alikuwa anakuja kupika yuko bwii!
LOL...Huyu mzee alikua anajifanya anaelewa sana lugha ya madenti, basi watu tulikua tunamchomekea matusi bila yeye kuelewa anajibu..

Kibadeni si ndo mama Mary mkuu..Hilo daraja la mto Machame tumelivuka sana kwenda Machame Girls siku za weekend

Kibadeni ni tofauti na Mama Mary...Kibadeni alikua mwembamba sana na alikua kikohozi/mafua yasiyoisha!

Nakumbuka dark room (nadhani kilikua chumba cha kusafishia picha zamani), yule Luka muuza karanga (alikua ni mtoto wa mwalimu wa fine art Mwetamba - sometimes alijifanya denti). Yale mabweni ya Matemu, Kirama, Sokoine....kule Kembriji (form three),
Nnya (mbege)!

Headmaster Savimbi (A. Shayo) baadae M. Tango.

wakuu kuna waliomaliza nami Umbwe miaka ya 1989 humu ndani ?
 
Nyie kumbe ndio mliokua mnatuona sie wa Lyamungo wapori pori eeeh! Mzee Hata mimi pale Lyamungo Makeresho nimetandika sana Fongo=Uji

Lyamungo was the modest school wacha utani kabisa! Hard working, na kwa ulimwengu wa sasa ni kwa vile tu baadhi ya wasimamizi/management hawakuwa makini ile shule ni sawa na Roya Palm Moven Pick kwani ni shule chache sana zina swimming pool and of such an architecture. Kwa aliyesoma pale atakubali baada pia ya kupata exposure ya shule nyingine.
 
Hizi picha zaweza kuwakumbusha mambo ya mti safi kidogo

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • Umbwe1.JPG
    Umbwe1.JPG
    48.1 KB · Views: 323
  • Umbwe2.JPG
    Umbwe2.JPG
    53.7 KB · Views: 311
  • Umbwe3.JPG
    Umbwe3.JPG
    74.8 KB · Views: 362
  • Kwarafaeli.JPG
    Kwarafaeli.JPG
    58.8 KB · Views: 303
Hizi picha zaweza kuwakumbusha mambo ya mti safi kidogo

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Lol,,Mzee wanikumbusha mbali,,Naiona OLD TRAFFORD(tulikuwa tukiuita uwanja wetu hivyo) kwa mbaali..Pia naiona bar ya staff hapo karibu na getini,kuna mwalimu alikuwa anaitwa PROTEA alikuwa anahudhuria sana katika hiyo bar ilikuwa akitoka hapo anapandishapandisha suruali usawa wa tumboni(Yenu) kisha anaanza kupiga mikwara wanafunzi lol...Pia alikuwepo Mbise (unaleta UKUDA UKUDA hapa) sijui kama bado yupo mti safi,bila kuwasahau mwalimu LOLO,KITUA,MUSHI,MWETAMBA,SOKA,PANGANI,LYAKURWA na wengine ambao najaribu kuwakumbuka
 
LOL...Huyu mzee alikua anajifanya anaelewa sana lugha ya madenti, basi watu tulikua tunamchomekea matusi bila yeye kuelewa anajibu..

Kibadeni ni tofauti na Mama Mary...Kibadeni alikua mwembamba sana na alikua kikohozi/mafua yasiyoisha!

Nakumbuka dark room (nadhani kilikua chumba cha kusafishia picha zamani), yule Luka muuza karanga (alikua ni mtoto wa mwalimu wa fine art Mwetamba - sometimes alijifanya denti). Yale mabweni ya Matemu, Kirama, Sokoine....kule Kembriji (form three),
Nnya (mbege)!

Headmaster Savimbi (A. Shayo) baadae M. Tango.

Umemaliza mwaka gani Mti safi Mkuu????
 
Wakuu wadau wa Umbwe kama kuna mtu ana picha za Mabweni,Kanisa letu la ndani ya campus,'Temperature room' na 'Maputo'(lol) atuwekee humu basi jamani bila kuisahau picha ya uwanja wetu mkali wa Basketball
 
Nimefurahi kuiona thread ya wadau wa Ilboru napenda na siye wa Umbwe tujikumbushe japo kidogo baadhi ya misamiati tuliyokuwa twaitumia pale 'Mti safi'..Baadhi ya misamiati ni kama: Fongo (Uji),, Katizi (Maandazi ya ubapa marefu hivi),, Maini (Maharage),,,, Fulu (Mbege)-lol nimeimiss,,, Maputo (Vyoo vya shimo kule juu dorm 8 na 9 Ukitaka kuingia wavua nguo zote ukiwa nje otherwise darasani hakutakalika). = Wadau nipeni misamiati mingine..Naikumbuka sana Umbwe a.k.a Mti safi a.k.a Umbwe Dume..Nakumbuka kipindi nasoma alikuwepo Mwalimu mmoja wa nidhamu aitwa Mallya a.k.a LOBILO alikuwa mkali huyo kama nini,ukiingia kwenye anga zake tu umeumia...Pia kuna dada mmoja aitwa Farida alikuwa anatuuzia maandazi(Katizi) sijui yuko wapi sasa hivi.................... = Nakumbuka sana Mbege ya Corner bar(ipo karibu na Mto Umbwe) kila weekend tulikuwa tukienda hapo kupata kitimoto na Mbege(lol) = Bila kuusahau ule Wimbo wetu wa shule 'Mungu baba mwenyezi bariki shule yetu.......................Umbwe ni Mti safi wa Matunda bora,yanayojenga maisha(dah)............ = Pia nakumbuka vijiji vya jirani kama KWA RAPHAEL,KOMBO,MANGO,LYAMUNGO,KIBOSHO CENTRAL,LYAMUNGO,NARUMU,UMBURI,KINDI,MANUSHI n.k Naomba kuwasilisha wadau

Misamiati zaidi ya Mti safi: Kufufuka (kuamka usiku wa manane kwa lengo la kujisomea),,Kicheche (Mtu mwenye bidii ya kujisomea),,kupiga ucheche (Kujisomea kwa nguvu zote hasa kipindi cha Mitihani)
 
Niliwahi kupigwa search na "mwalimu mmoja hivi wa social" hapo kwa Raphael..alinilia time ile nimeshuka tu kwenye ki Hiace na yeye huyo, basi akachukua shs 500 yangu. Nilikuwa nimepanga nikamuone Aunt Mary pale Canteen...ah basi tena ikawa nimevurugiwa budget.
 
Back
Top Bottom