patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 568
AzaJangwa (AZANIA + JANGWANI), UKWATA, YCS! Kikoti- Ba'hai man!
Long Live AZANIA- ASS!
Long Live AZANIA- ASS!
kuna ticha mmoja mrefu alikuwa anafundisha fizikia sikumbuki jina lake - wanafunzi walikuwa wanajiuliza waende kwake au kwa babu kazibure (huyu mzee alikuwa hatumii kitabu kufundishia na inasemekana alikuwa anadai nelkon alisoma naye na alikuwa mchovu tu darasani hivyo hawezi kutumia kitabu chake - michoro na maswali yake yalikuwa yamekaa kama ya kitabu cha university physics!)
Yule bwana mrefu anaitwa Mmanda (Mu-Iraqi), ni Mechanical Engineer TANESCO at present Ni kaka yake Dominic Mumbray aliyetoka Singe Secondary. Mkuu, unajua miaka 20 imepita! Tunaelekea uzeeni sasa! Mwenyezi atubariki.
M2 moja alikuwa anaitwa Mbuga..gwiji la Chemistry na Biology pale pande za mchikichini.
Mmemsahau hidden, bichwa la namba kuleee mchikichini tuliposoma watoto wa wadhulumiwa,unasoma hapa pale wanakaanga kahawa moshi mtindo mmoja but leo Alhadulillah,nikiwa ofisin kama nipo juu ya mlima kilimanjaro full makete napiga makofi kwa viganja vya miguu!!!
MImi nadhani nimepititea tuition zote hapo juu.....ila ukweli utabaki kwamba walimu wa mchikichini walikua juu zaidi....nakumbuka mpaka naanza form three nimeshamaliza syllabus yote ya O' level kwenye masomo ya PHYSICS,CHEMISTRY,BIOLOGY NA MATHEMATICS.....
WALIMU WANGU WALIKUWA.....MUDDY (PHYSICS), HYDDEN AGENDA (MATHEMATICS), MBUGA (CHEMISTRY NA ABIOLOGY).....HAWA JAMAA NI HATARI SANA NA WALINIFANYA NIWE IN LOVE NA MASOMO YA SAYANSI.....THAT MADE ME CAME UP WITH THE OUTBREAK RESULTS....
SITAWASAHAU HAWA JAMAA IN MY LIFE....MIMI NILIPITIA PALE AZABOY ENZI ZA MZEE KWAYU,,,,,,TULIKUWA NA KINA LEODGARD,ONESPHORY,SHOMARI,AMIRI, BENJAMIN JOSEPH (DEDO),NA WENGINEO.....
ILIKUWA POA SANA WAKUU
...ebwana Mkuu umenikumbusha hom enzi ya AZABOY ya 1999/2002,chini ya Baba Kwayu,Mchwampaka,Mkongo,Msafiri mzee wa Kiswahili,etc..,ila wengineo enzi zile ninaowakumbuka ni OCTAVIAN JAVERTY,CHARLES MICHAEL,MARTIN NTABAJANA,ISMAIL''SUMA'',GIBONCE SIMULE,SHOMARI,ISAACK,ISSA MWIKALO,GIBONCE ANTHONY,ELZEUS MELCHIOR,etc..
1)''..let us end here at zis particular conjuncture,bkoz tm is aproachin at infinity,2moro we wil continue wiz ANGULAR MOTION..,huyo ni.........,jembe la PHYSICS!!!''
2)''..haaya,amunje amunje,akabraket,akamainaz kisha akaplas,huyo ni.........,jembe la NAMBA.''
3)''..madogo hebu acheni zenu,REPRODUCTION NI TOPIC NGUMU SANA,huyo ni.......,jembe la BIOLOGY baada ya NGIDA kutokuwa fresh kiafya.
Adavance namkumbuka MKANDAWILE-Chemistry,MAKUMAKU-Bios,BUSANJI-Physics..,hawa jamaa walisaidia wengi sana kutoka A-LEVEL.
Mimi bahati mbaya natokea bara,tuition hazikuwa nyingi kiivyo.Mkandawile simjui hata kwa sura ila notice zake za organic chemistry zilinisaidia sana A-level(namkubali).Mama shija naye nilisikia story zake kwa washikaji pia namkubali.Zamani watu walikuwa wanasoma kweli siyo siku hizi za .com.Vijana badala ya kusoma muda wote facebook(no 1time waster).Vitabu vya physics navikubali University Physicrs,Roger muncaster(bei yake about laki moja now) ukisolve hivi vitabu physics banda I assure u.Maths pure1&2,Kinunda,Tranter(kipimo cha watabe ukiweza maswali ya huku we ni soo),engineering Maths the list goes on.Siku hizi kizazi hiki hakipendi kujisomea kina kula misele,usharobaro na kusahau siku moja wazazi wao wataacha kuwasidia na watatakiwa kujisaidia wenyewe.If you can read you can learn anything,huwa naumia sana nikisikia Maths bado ni tatizo wakati ni somo ambalo unaweza ukajihakikishia banda lako mapema.Nini kifanyike?Watanzania hatuna utaratibu wa kujitolea(volunteering),unaweza kujitolea kuwasaidia vijana shule ya jirani kwenu au mtaani kwenu i.e giving back to the society.
Hapo changombe ni kwa ustadh shabban huyu jamaa ni noma kwa language mpaka sasa.Mm nilikua napiga tuition moja pande za sinza inaitwa SOKWAMBI=Soma Kwa Mbinu. Nilikacha nakiete mana ilikua msongamo. Nilipiga na ya chang'ombe pia kwa mtaalam wa language. Ni kweli vijana wa sasa ni bongofleva tu.