Tujikumbushe: Terminator 2 vs Terminator 3

Tujikumbushe: Terminator 2 vs Terminator 3

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,154
Reaction score
14,114
Mambo aje wadau,

Leo nimezikumbuka sana hizi ngoma za muendelezo wa Terminator 2&3. Nimejikuta natamani kuzirudia.
Ila kabla sijafanya hivyo, kuhusu suala la ukali wa movie hizo basi mie kura yangu inaenda kwa Terminator 2. Moja kati ya movie bora kabisa ya mtaalamu Shwarzenegger. Nilivyocheki 3 niliipenda ila sio kama 2.

Vipi wewe ipi ilikuvutia zaidi?
 
Back
Top Bottom