Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio
Abdallah Shaibu... Ninja
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Steven Mapunda...Garincha.
Doyi Moke..............

Kocha,Nzoyisaba Tauzan

Kwenye magari
Cresta gx 100 inaitwa Mafisango
 
Duuuu...ukisikia wazee wakisimuliana utasikia mpira ulikuwa zamani bwana...Hivi wote hawa wangapi walicheza soka Ulaya au wahapahapa tu
Roho imekuuma maana wewe ni kuku wa broiler . Enzi hizo dunia haijawa kjiji , tv ilikuwa kwa Ñyerere tu . Wewe unaongea mambo ya Ulaya . Kipindi hicho nani angekuruhusu uende ulaya hovyo ? Wakati huo Ulaya kwenyewe walikuwa na wanaume wa shoka , sio hawa wa kizazi chenu cha kujipodoa na kuingiliwa kwa mpalange...!!
 
Benard morison,wakili msomi
Peter banda,wonder kid
Pape sakho,p.o.s senegalese international
Israel mwenda,mtoa roho
Jacob massawe,mchaga anaejua boli
Kakolanya,mwaisa
Henock inonga baka...varane
Joash onyango..half man half iron
Shomari kapombe..shommy the way baba ester
Mohammed hussein,zimbwe jr,tshabalala
Mzamiru yassin,kiungo punda,ngolo kante
Sadio kanoute,putin
Mohammed ouattara,heavy weight defender
Kennedy juma,sengerema boy
Luis miquissone,konde boy
Ibrahim ajib,mzee wa makorokoro
Dick job,big brain defender
Diarra,screen protector
Djuma shaban,soldier ya bemba
Twisila kisinda,turbo master
Augustine okrah,simba wa vita,okrah magic
Juma kaseja,JK
Feisal salum,fei toto
Rally bwalya,left foot magician rb maestro
Moses phiri,general
Mayele,predator
Kagere meddie,terminator,nguvu ya mamba kumayi
Kibu denis,kibu denga
Michael sarpong,goal machine
Aziz ki,master key
Benjamin Asukile,koplo
Juma mgunda,pep guardiola mnene
Johnny bocco,captain fantastic
Prince dube,the smilling killer
Nasredine nabi profesa
Mchimbi,duma
Yusuph suleiman,juxxa
Edward manyama,eddo
Bakari mwamnyeto,captain beka
Lucas kikoti,almeida,mtakatifu wa kusini
Mohamed makame malima,MMM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom