K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,181 Reaction score 17,186 Jul 28, 2021 #2 Hapana. Ujumbe unaowasilishwa umekosewa. Hakuna sababu ya huo mfupa hapo kwa hawa mbwa kuwageukia raia zao. Huo ni upotoshaji wa maksudi kabisa. Kutafuta visingizio, kumbe tatizo lenyewe ni la humo humo kwenye jamii husika.
Hapana. Ujumbe unaowasilishwa umekosewa. Hakuna sababu ya huo mfupa hapo kwa hawa mbwa kuwageukia raia zao. Huo ni upotoshaji wa maksudi kabisa. Kutafuta visingizio, kumbe tatizo lenyewe ni la humo humo kwenye jamii husika.