Tujikumbushe Maprofesa wetu wa Kitanzania na michango yao kwa jamii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,094
164,420
Namkumbuka Profesa Vulata wa enzi za Nyerere alikuwa ni mganga wa jadi na Mzee wa kanisa pale mwananyamala.

Namkumbuka pia Profesa J ambaye sasa ni mbunge akiendelea pia na fani yake ya sanaa. Mdau je kuna Prof wa kitanzania unayemkumbuka? Achana na hawa maprofesa wa elimu ulaya!
 
Ngoja niufatilie uzi huu kwa umakini niwaajue maprofeseri

OvA
 
Back
Top Bottom