samaki mkunje angali mbichi, 2.haba na haba hujaza kibaba, 3.chururu si ndo ndo ndo, 4.akufukuzaye akwambii toka, 5.hakuna marefu yasiyo na nchi, 6.mkataa pema pabaya pana mwita, 7.dalili ya mvua ni mawingu, 8.nyota njema huonekana asubuhi, 9.fimbo ya mbali haiuwi nyoka, 10.simba mwenda pole ndo mla nyama!