Mbona thread haina mshiko ndugu! Sasa kama vijana waliiteka ilikuwa huko huko angani au ilikuwa imetua Dar? Na kama waliiteka ilituaje uingereza tena?
Hii imenifurahisha zaidi!
natamani hili ndo lingekuwa gari la wabunge watz..Duh hii Landrover 109 aka Mandolini siku hizi hata OCD haipandi hakuna tofauti ya gari anayotembelea mkuu wa nchi na gari anayotembelea RPC !.
Karume alikuwa mtemi ?.Hicho kijibwa kilikuwa kinafanya nini kimekosa adabu.
duh hii landrover 109 aka mandolini siku hizi hata ocd haipandi hakuna tofauti ya gari anayotembelea mkuu wa nchi na gari anayotembelea rpc !.