Tujikumbushe kwa Babu Loliondo

Nawewe ulitoa #500 kisa kale kazee kaongo kaongo

Naskia hadi watu fulani fulani wazito katika taifa walifata kikombe.
 
Tanzania Ndiyo Hiyo Sasa Hivi
Vikaibuka Vikombe Vingi MikoA Tele
 
Huyu mdingi baada ya hiyo makitu yake, alipaswa awe na fuba chafu, lakini hadi anafariki hakuwa na ukwasi wowote wa kutisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…